Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,008
Huwezi kuzuia upo sahihi.Ndo maisha yalivyo. Huwezi zuia watu kuongea mkuu
lakini kwenye upotoshwaji lazima tuzuie na tupinge!!!
hako ka binti kanaleta chai na chumvi nyingi
kwa.kweli,amenikwaza na kuniboa anapotaka kumusianisha ben na.mambo ya kichoko!
laiti kama.ningekuwa cmfahamu inside in and out ben hapo ningekaa kimyaa
lakini kwa mtu ambaye nafahamiana naye Kabla hajawa na lolote siwezi kuona upotoshwaji dhidi yake nikakaa kimya
mbona wakati analeta habari zake za kina majjizo na b12
nilikuwa kimya??
coz sikuwa nafahamu lolote
lakini kwa Hili la Ben BIG NOOO!!!!!
Na Kama ni kweli aweke wazi huyo boyfriend wake
AACHE KUWACHAFULIA WATU MAJINA KWA CHAI ZAKE ZA KIPUUZI