Tafsiri na lengo halisi la escort business ni hilo. Kuna watu wana nafasi hawana wenza, kwenye mialiko fulani inabidi kwenda na mwenza so unatafuta escort. Unasema muendako ni mualiko wa aina gani. Kama ni business meeting, political etc unapewa escort mwenye uelewa na hayo mambo ili hata kwenye few conversation asikutie aibu au aonekane yupo out of place. Kwa wenzetu unakuta ni watu walioenda shule na kujitambua. Hayo ya happy ending ni makubaliano mengine nje ya huduma hio.
Mkuu escort unamlipia yeye binafsi hana shida ya kufurahishwa. Kazi yake ni kukufurahisha kwa malipo, period
Basi ndio hivyo hivyo kama ulivyoonaNataka nisikie kutoka kwako
Kama unapenda ku dance wanakupa anaeweza kudance. Wanaume watabaki kuwa wanaume sasa wewe unakuja mwenyewe club unategemea wakuangalie tu?Kwa hii huduma ya kunipa company kwenda kucheza mziki hapa ntamlipa cause I loooove muuusiiiiicccc aahahahhaaa na huwa sichoki hadi dj anazima mitambo. So huyo escort ajiandae haswa, maana atatumika ipasavyo.
Inaboa unaenda mziki mwenyewe halafu wanaume wengine wako na wanawake zao Ila bado wakikuona uko mwenyewe wanatuma waiter kuwa wamekununulia vinywaji ukikataa unaletewa business cards ukikataa inarudishwa tena na hela khaaa....!! Ukienda maliwato nawenyewe wanakuja kujibanza eneo unalotoka maliwato ili tuu akusemeshe au ajigonge kimaksudi aanzishe maongezi...
Ukiwa unacheza dancing floor wanajileta bila adabu kuja kukubambia bambia hovyo au kucheza nyuma yako bila wewe kuwa na habari...
So nikiwa na huyu escort watajua ndo bae wangu na kukaa mbali bin kumeza mate makavu aahahahahaa. Hii huduma lazima niichakate walaah.
Asanteni kwa maelezo, you deserve a tost with Kasie for this info.
K' Matata.
Unachokisema hapa ni kama vile kuenda bar na kuagiza bia na kisha kumwambia meneja wa bar alipe
Iko wapi hiyo lockdown pasua kichwaPasua kichwa lockdown hii vipi?
Aisee!Aahahahaa am a woman you know....
Nikirembua jicho na kulegeza sauti naona hataishia kulipa bili tuu, bali ataniagizia na supu juu bili kwake ehehheheee.
Nikishiba naondoka zangu bila kumuaga sana sana ntamshukuru kwa wema wake....
Ujifungie na dada yako? Huoni hayo ni matumizi mabaya ya lockdown?Inakuja naomba nije tujifungie wote.
Endelea na krashi zako za maNissan
This Rain ni Lockdown by default tu, we tafuta movie zako za Mijegejo anza kuangalia
Wakija wale wa bahat mbaya uko wap? Nije? Usilaze Damu ataondoka Tuesday Morning ukiwa unaenda Kazini.
Happy Easter Y'all
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye dada hakosi shemeji, hujui hilo?Namlinda dada yangu na mabazazi.
Kama unapenda ku dance wanakupa anaeweza kudance. Wanaume watabaki kuwa wanaume sasa wewe unakuja mwenyewe club unategemea wakuangalie tu?
Kazi ipo....mimi sikumbuki mara ya mwisho kwenda club ni lini!Yeah ntawaambia kabisa aje mwenye hobby na mziki Ila wasiniletee break dancer akaanza kutake over dancing floor kama yuko kazini aahahahhaaa.
Yeah nataka nikienda club mwenyewe wanaume waniangalie tuu wameze mate sana sana wanisakimje basi sio kuanza ignominious vinywaji mara business card mara watumishe hela mara wanisubirie korido ya chooni khaaa...
I know men are men but with Kasie Matata, they have to cool up and say what's app.... Aahahahhaaaa.
Kumbe raia wazawa tuna privelege kwenye mambo mengi