Mashushushu wa JF

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
370,954
Reaction score
858,895
Aliyetengeneza bunduki ya AK 47 kabla ya kifo chake alitubu na kujutia silaha yake ile.. Badala ya kuwa msaada vitani ikawa killing mashine iliyoteketeza mamilioni ya roho zisizo na hatia
Huko Selfika mitupio ilikuwa kwa ajili ya leisure 💪🏿💪🏿🔥

Halafu likatokea kundi hatari la mashushushu.. Likaanza kutengeneza na kuhifadhi mafaili ya watu..
Aisee don't mess up with them! Utaikimbia forum! Watazama kwenye server za na kuibuka na vitu vizito.. Vingine hata huvijui

Nimeshapewa warning.. "Mlozi tuna faili lako..."
 

Jf ni forum ya watu wazima lakini hatuoneshi utu uzima huo🗡
 
Achana nao,isikushughulishe kabisa
Wakianika maisha ya mtu mwingine kuna kiasi gani cha pesa wanalipwa?
Imagine watu wanajipa kazi ngumu
Kwamba kua na watoto 2 ni exclusive 🤣🤣🤣
Mambo yangu nayaweka hadharani mwenyewe then uniambie unafile langu…hakika kuna muda elimu haina msaada kwa watu wengine.
mwenyewe useme mambo yako then mtu ajitie jasusi OMG 😲
Jf ni forum ya watu wazima lakini hatuoneshi utu uzima huo.
Noma sana
 
Hello madam
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…