Mashujaa Wetu

Manumbu

JF-Expert Member
Oct 28, 2009
1,746
1,282
Tukumbushane mashujaa wetu walio fanya makubwa kwa nchi hii. ninao mukichwa:

1. Mtemi Mirambo
2. Isike
3. Mkwawa
4. wengineo?
 
5. Mangi ...?
6. Chief Mangungo wa Msovero, teh. Kwani hata leo ana replica wake
 
itatuelimisha wengi kama tutadokeza kidogo makuu waliyoyafanya mashujaa hawa
 
Back
Top Bottom