Mashujaa wasiojulikana

Mashujaa wasiojulikana

ayman makoye

Member
Joined
Jan 3, 2017
Posts
13
Reaction score
33
MASHUJAA WASIOJULIKANA!

Yumo Dkt Michael , kwa tatizo lililonisumbua zaid ya miaka 2 yeye nimekutana nae mara 1 tu, akaniangalia usoni kisha akaniuliza maswali kidogo tu kuhusiana na changamoto yangu!

Baada ya hapo akaniambia

"Nakupatia hizi dawa, nenda katumie kwa mda wa mwezi mmoja baada ya mwezi urudi hapa!".

Sijaamini nimepona, licha ya kutumia dawa mbalimbali pamoja na kukutana na madaktari zaidi ya 8 ambao nao kwa nafasi zao wamejitahidi Sana kunisaidia niwashukuru pia, ila the destination was good.

Nilikua na shida ya ya uvimbe kwenye njia ya haja kubwa sijui ndo wanaita bawasri,Pia tumbo lilikuaa linajaa gas sana mda mwingine nilkuwa sipati choo au nikpata choo kinatoka kgumu kama cha mbuzi, Kwenye njia ya haja kubwa sasa hapo ndo balaa lipokuwa maana palkua panauma na kuwaka moto n.k

Dkt Michael ni daktari bingwa wa Mfumo wa chakula .

Mungu amuweke.
 
Mungu akubariki .

Hakuna kitu kinafurahisha kumuhudumia client then akawa shukrani yenye kheri.

Mpelekee hata zawadi ya shukrani kwa hayo .
 
MASHUJAA WASIOJULIKANA!

Yumo Dkt Michael , kwa tatizo lililonisumbua zaid ya miaka 2 yeye nimekutana nae mara 1 tu, akaniangalia usoni kisha akaniuliza maswali kidogo tu kuhusiana na changamoto yangu!

Baada ya hapo akaniambia

"Nakupatia hizi dawa, nenda katumie kwa mda wa mwezi mmoja baada ya mwezi urudi hapa!".

Sijaamini nimepona, licha ya kutumia dawa mbalimbali pamoja na kukutana na madaktari zaidi ya 8 ambao nao kwa nafasi zao wamejitahidi Sana kunisaidia niwashukuru pia, ila the destination was good.

Nilikua na shida ya ya uvimbe kwenye njia ya haja kubwa sijui ndo wanaita bawasri,Pia tumbo lilikuaa linajaa gas sana mda mwingine nilkuwa sipati choo au nikpata choo kinatoka kgumu kama cha mbuzi, Kwenye njia ya haja kubwa sasa hapo ndo balaa lipokuwa maana palkua panauma na kuwaka moto n.k

Dkt Michael ni daktari bingwa wa Mfumo wa chakula .

Mungu amuweke.
Vipi na wewe kusaidia wengi zaidi kwa kutaja jina la dawa
 
Hujasema yupo wapi sasa. Kuna watu wana tatizo kama lako wangependa nao kupona
 
Naomba kujua ni DR. Michael anapatukana wapi,? Kijana wangu anashida kama yako.. Tafadhali nijuze🙏
 
Something fishy.
I capable of smelling fishy from far distant.
Hapa Ni hela wanatakiwa watu waliwe, wengine waingie pm wamuombe awaunganishe naye unakuta Ni mwenyewe.
So Ina Mana Dr Michael ndiye akakuambia kuwa uje kumshukuru hapa jf ama inakuwaje.

Ila bana ukijua both mind and money game nadhani huwezi shangaa Mara wahi nafsi Ni chache. Watu wanajribu kuwapa wengine hofu Mara utakufa ukichelewa kutibiwa
 
Back
Top Bottom