Kila mwaka Tanzania kuna sherehe ya kumbukumbu ya mashujaa, huwa tunawakumbuka mashujaa wetu kati nyanja mbalimbali.
Tangu mwaka 2012 nimekuwa nikitaja mashujaa wangu wa mwaka , nikiwa na best wangu kipenzi Mtela Mwampamba na Dotto Rangimoto Chamchua, kimeta Wa Mpui na boss wa tanuru kipindi hicho Saambala ole comrade tulitangaza shujaa wetu ni yule jamaa aliyemteka na kumpiga Dr. Ulimboka na sababu tulitoa kwa nini ni shujaa wetu.
Mwaka uliofuata 2013, shujaa wangu alikuwa ni Mwagosi aliyefariki dunia kwa dhuluma akitekeleza majukumu yake.
mwaka 2014 shujaa wangu alikuwa ni Zitto Kabwe alipoweza kuisimamia vizuri issue ya Tokomeza na pia Escrow.
Mwaka huu 2015 tayari nishapata mashujaa wangu , ni wale jamaa waliofanikisha kulipiza kisasi cha professor Lipumba na wafuasi wake walipigwa na kuumizwa kama mbwa na polisi wa nchi hii bila huruma kama wao si binadamu kwa kosa lisilokuwa na msingi wala miguu.
Jamaa hao ni wale walichukua SMG15 leo zikiwa full magazine kituo cha polisi cha Sitaki shari , hili ni onyo kubwa sana kwa jeshi la polisi kuwa wanapopiga wenzao na wao wana miili pia.
Nawasilisha

Last edited by a moderator: