Mashujaa wa Taifa wakiwa kazini!

Mashujaa wa Taifa wakiwa kazini!

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,014
Neno moja kwao wapambanaji hawa wanaotumia mbinu mbalimbali kuongeza mapato ya kodi kwa kupiga faini madereva wakaidi, kodi ambayo mwishowe hutumika kuhudumia jamii kama kwenye miundombinu na afya.

traffics.JPG
 
hao sio wapambanaji Bali hao Ni wakusanyaji
wapambanaji Ni TPDF,TISS,FFU nk
Wewe hao wote uliowataja wanasubiri kazi iliyotukuka ya traffic, ili waendelee kufurahia kazi zao.

Ndio maana mkuu kwa kuona mbali sana,akaibariki na kuibatiza jina jipya-kutoka kitu kidogo mpaka hela ya bubrashia viatu.

Akichukua TPDF hiyo hela hata buku tu aseme anapeleka TRA hapatakalika humu.
 
mkorinto subiri siku TPDF waache kulinda mipaka yetu then tuone umuhimu wa trafiki ktk usalama wetu just jokes don't panic meeeen!!
 
mkorinto subiri siku TPDF waache kulinda mipaka yetu then tuone umuhimu wa trafiki ktk usalama wetu just jokes don't panic meeeen!!
Ni mgawanyiko wa majukumua tu.kimoja kikitoka kingine kinapwaya.

Umeishawahi jiuliza kama barabarani usalama ni sifuri, kuna mwenye muda wa kuwaza mpaka unalindwa kwa gharama ipi???

Lakini pia tpdf haitataka kuonyesha umuhimu wake kwa kuacha kutimiza majukumu yake, huu ni uasi, kama ilivyo kwa hao traffic pia.
 
Back
Top Bottom