Mkuu! Wasiliana na mkurugenzi msaidizi wa kampuni inayochambua pamba pale shinyanga 0757888001 mpigie kuanzia saa tatu na nusu,atakupa update zote pia ntakufanyia quotation kwa sababu hata mimi nilishafanya biashara hiyo zamani k
Wakuu hivi mashudu ya pamba yanapatikana wapi kwa wingi na bei yake ni bei gani? kuna wahindi apa dar wanayaulizia hivyo natafuta pa kuyapata niwe nawaletea mzigo. naomba anaye jua anifahamishe tafadhari. nimewauliza mna nunua bei gan wakasema wao wanataka kujua mimi nitawauzia bei gan? hivyo nimeshindwa kujua bei ya kuwaambia nataka nijue ni bei gan mkoan na mpaka kufikisha dar itakuwa bei gan , natanguliza shukrani zangu.naomba msaada sana kwa ajuae
namba yangu 0714089200 au 0787152341 mashudu ya pamba na alizeti ngumu na ilisogwa pia mahindi yapo nauza kwa bei ya jumla na reja reja,ahsante