imefika wakati serekali ianze kuwajibika kwa matendo ya kizembe ya watumishi wake, nani atamlipa Henry muda wake uliopotea na gharama alizotumia mke wake kusafiri dar tabora kweli yule mke wake nilimuonea huruma sana na wanawake wote wanaoteseka kufuatilia waume zao waliobambikiwa kesi.