Mashoto Tukutane hapa.

Kuna sehemu nilisoma wana advantage ktk mgawanyiko wa ubongo, Ku komprehend information na ktk kucheza mpira iwapo atakuwa mchezaji.
Pia wote niliokutana nao wana miandiko mizuri + handwriting). Ila sipendi wakiwa angali watoto huwa wanajisahau wanakulaga na kushoto na kutumia wa kulia chooni.
 
Nipo hapa chuma cha mjerumani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…