pOLE! TUTAKU-MISS!1- mtu anakupigia simu ila unaongea na simu nyingine na simu inamuonyesha kabisa iyo simu inaongea ila yeye anaendelea kupiga tu anakuharibia maongezi maana simu inakata kata dkk 3 tu unakuta 45 missed calls .. Aya sema basi unachotaka oooh shosti nimefuliaaaa.......................... Mimi bwanako potelea mbali huko
2 unamwalika rafiki yako kukaa kwenu siku unataka kuvaa nguo yako flani kumbe chafu amevaa unacheki nyingine tena amevaa nyingine tena amevaa jamani ?+
3 mtu anakulilia nikopeshe shosti nakurudisia hela yako jtano,jtano inafika wala humuulizi jtano nyingine unakausha tena jtano nyingine unamuuliza vp anasema oooh nilishasahau nipe wki nikutafutie hela yako.......... Fia mbali huko
4unatoka out na mtu tena yeye ndo kapropose kiwanja anaagiza kama hana akili bili ikija anakausha halafu daily ni wa hvo ,,,,,,,tusitafutane leo
5 mtu amekuomba mchango wa harusi umemuahidi tar flani hata haijafika kila saa anakupigia simu ...kwani lazima au unanidai?
6 facebook mtu hata humjui anakutumia request anaanzisha chati mtu upo zako bize anaanza kukutukana eti unaringa na nakublock nisikuone tena kwani nilikuita ? Potelea mbali huko...............
7 mtu amekutongoza humtaki anaanza kujipendekeza kwa wazazi wako na kuwanunulia zawadi ... achana na mimi
8.................................
9...................................................
10 mambo chungu mzima
wkend njema jf siko vizuri leo
Lol Pole sana mamito!1- mtu anakupigia simu ila unaongea na simu nyingine na simu inamuonyesha kabisa iyo simu inaongea ila yeye anaendelea kupiga tu anakuharibia maongezi maana simu inakata kata dkk 3 tu unakuta 45 missed calls .. Aya sema basi unachotaka oooh shosti nimefuliaaaa.......................... Mimi bwanako potelea mbali huko
2 unamwalika rafiki yako kukaa kwenu siku unataka kuvaa nguo yako flani kumbe chafu amevaa unacheki nyingine tena amevaa nyingine tena amevaa jamani ?+
3 mtu anakulilia nikopeshe shosti nakurudisia hela yako jtano,jtano inafika wala humuulizi jtano nyingine unakausha tena jtano nyingine unamuuliza vp anasema oooh nilishasahau nipe wki nikutafutie hela yako.......... Fia mbali huko
4unatoka out na mtu tena yeye ndo kapropose kiwanja anaagiza kama hana akili bili ikija anakausha halafu daily ni wa hvo ,,,,,,,tusitafutane leo
5 mtu amekuomba mchango wa harusi umemuahidi tar flani hata haijafika kila saa anakupigia simu ...kwani lazima au unanidai?
6 facebook mtu hata humjui anakutumia request anaanzisha chati mtu upo zako bize anaanza kukutukana eti unaringa na nakublock nisikuone tena kwani nilikuita ? Potelea mbali huko...............
7 mtu amekutongoza humtaki anaanza kujipendekeza kwa wazazi wako na kuwanunulia zawadi ... achana na mimi
8.................................
9...................................................
10 mambo chungu mzima
wkend njema jf siko vizuri leo
mimi pia nashangaa mtu kuvaa nguo za mtu ndo maudhi sasapole wamekukwaza. Ila nawe hapo namba 2: Mpaka leo mnavaliana nguo? Miaka hii? Hata kama umemwalika si aje na kifurushi chake?
Namba 4: Taabu iko wapi? Lipa bili yako then nyuti, anayodaiwa alipe mwenyewe la ajiandae kuosha glass. Next time watu wa namna hiyo wakikualika kataa, akiuliza mwambie huwa anakimbia bili.
Namba 6: Kwa nini unaaccept friend request za watu usowajua?
Namba 5: Hiyo wamezidi, mwingine umemwambia huna kitu lakini atakudai kama aliweka anakuja kuvuna! Wanakera wanaudhi!
pole wamekukwaza. Ila nawe hapo namba 2: mpaka leo mnavaliana nguo? Miaka hii? Hata kama umemwalika si aje na kifurushi chake?
Namba 4: taabu iko wapi? Lipa bili yako then nyuti, anayodaiwa alipe mwenyewe la ajiandae kuosha glass. Next time watu wa namna hiyo wakikualika kataa, akiuliza mwambie huwa anakimbia bili.
Namba 6: kwa nini unaaccept friend request za watu usowajua?
Namba 5: hiyo wamezidi, mwingine umemwambia huna kitu lakini atakudai kama aliweka anakuja kuvuna! Wanakera wanaudhi!
usinikumbushe elia unaniongezea machunguSmile, umegonga Ikulu..... upo sahii 1-10
Yana booa!
Mtu amekopa kwa ahadi ya tarehe badala ya kulipa anabadili na njia sio kwamba hana ila eti shosti una hela zaidi yake.. kama msaada si uombe msaada jamani!!!??!
usinikumbushe elia unaniongezea machungu