Mashoga

Mashoga

Hezman

Senior Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
116
Reaction score
17
Wadau naomba mnisaidie ni nini kinachowashawishi watu wa jinsia moja kujiingiza katika mahusiano ya mapenzi kinyume na maagizo ya Mungu? Na wanapata faida gani wanapofanya hivyo?
 
watakuja wataalamu mkuu,, but me huwa nahisi ni maumbile wanazaliwa na homoni za kike
 
Wachache sana uzaliwa hivyo... lakini wengi huwa ni mazingira waliyokulia uchangia.

Kitendo cha kujichua pia ni tukio la mwanzo linalompeleka mtu kuwa shoga.
 
Wadau naomba mnisaidie ni nini kinachowashawishi watu wa jinsia moja kujiingiza katika mahusiano ya mapenzi kinyume na maagizo ya Mungu? Na wanapata faida gani wanapofanya hivyo?

Kuna shoga na anaye fanya vitendo vya kishoga.

Anayefanya vitendo vya kishoga, huyu yeye sio shoga bali hufanya vitendo hivyo sababu tuu ya kiuchumi, labda ni kijana anaye hitaji pesa na ana muonekano mzuri ,baada ya kushawishiwa kwa pesa nyingi ,hapo huweza tumia mwili wake kama mtaji kuingiza pesa kwa ufanya ushoga, lakini mara zote huyo huwa sio shoga.

Shoga, ni mtu yoyote mwenye hisia za kimapenzi kwa mtu wa jinsia yake kwa maana nyingine ni kuweza patwa na hamu ya kufanya mapenzi ukiwa na mtu wa jinsia yako, hilo ni tatizo la kuzaliwa, wengi wao hujikuta toka watotow ana hisia hizo na hujaribu kuzificha kutokana na jamii iliyo mzunguka lakini hufika kipindi hisia na hamu ya mapenzi huweza mshinda na kuanza kujihusisha na mapenzi hao.Sio jambo la kuchagua ni lina tokea.Labda nikuulize je wewe, uliweza chagua kuweza kupata hisia za mapenzi kwa mtu wa jinsia nyingine?
 
Kwa mtizamo wangu ushoga ni aina fulani ya mtindio wa ubongo ambao unasababisha namna fulani ya kutofanyika vizuri kwa kitendo cha kuhushisha matamanio ya mapenzi.
 
Ni nini chanzo cha Ubasha na umende?Bazazi
 
Ushoga mnaupiga vita.... Usagaji hamuongei.... Kama haya mambo yangeenda sawa na kupigwa vita wala mada hizi zisingekuwepo
 
Kuna watu wana sema almfirwa hafiruki. Yani hii ni kama laana kwa wanawake au wanaume wanaoingiliwa kinyumbe na maumbile lazima ije irudi kwenye familia yake. Yani kama kuna mzazi alikuwa natabia ya kugonga wenzie au kugongwa lazima imkute moja ya watoto wake ile ndo malipo hapa hapa duniani na huwezi kufa mpaka ushuhudie ukiliwa ww 0712 au 065 au mwanao akiliwa ivo. Ila hormone za kike hazimpelekei mtt kuwa shoga ila anakuwa natabia za kike tu ambazo sio za kupumuliwa kisogoni. Na sababu kubwa ni mambo ya kuiga izi porno zimearibu sana watu kwa io usiige wala usikybali hii itajirudia kwako au kwenye familia yako.
 
Mtu mpole kaongea yote hapo juu. Ameshawahi kuomba msaada jinsi ya kujitoa huko ushogani.sijui amefanikiwa?
 
Nyie inamana huyu mpole ni... Mbona hamunyooshi maelezo.
 
Kuna watu wana sema almfirwa hafiruki. Yani hii ni kama laana kwa wanawake au wanaume wanaoingiliwa kinyumbe na maumbile lazima ije irudi kwenye familia yake. Yani kama kuna mzazi alikuwa natabia ya kugonga wenzie au kugongwa lazima imkute moja ya watoto wake ile ndo malipo hapa hapa duniani na huwezi kufa mpaka ushuhudie ukiliwa ww 0712 au 065 au mwanao akiliwa ivo. Ila hormone za kike hazimpelekei mtt kuwa shoga ila anakuwa natabia za kike tu ambazo sio za kupumuliwa kisogoni. Na sababu kubwa ni mambo ya kuiga izi porno zimearibu sana watu kwa io usiige wala usikybali hii itajirudia kwako au kwenye familia yako.

Koma kabisa, Kuf-rwa hakuigiki hakuna hata sehemu moja inasema kufirwa ni fasheni au ni jambo lakujivunia, acha kubuni idea zako siziso na utaalamu wowote, Kufirwa ni hali halisi ya kuzaliwa na sio kingine.
 
Back
Top Bottom