Mashoga ndani ya JWTZ


Unatisha kwa utafiti! Ha ha ha
 
Wewe ni Sgt,utakuwa unajua.

Inawezekana ikawa lkn hiyo huyo askari lbda aanze wkt tayari ashaajiliwa mana ktk kupimwa afya kwa askari lzma uvue nguo zote unabaki ka ulivozaliwa unakaguliwa na we ka ni hanisi unapigwa chini pia doctors wanakagua ka unafanyiwa vitendo ivo. ukigundulika unatema. kukunwa utamu wake tumwulize LEMA MH
 
Ushoga siyo jambo dogo kama wengi wanavyofikiria,hili jambo linatokea kwa watu fulanifulani kutokana na kasoro za mwili toka anapo zaliwa,unaweza ukaona wanakosea lakini si hiari yao ni sawa na mtu kuzaliwa kilema,najua wengi watapinga lakini wapo watakaoelezea kwa uzuri zaidi na mwenye akili ataelewa. Omba Mungu sana lisikutokea kwenye familia yako.
 

Washenge Huwa wanafukuzwa.....Sasa Huyo mdogo wako Kama Ana ushahidi apeleke taarifa Za Siri
 
tatizo ni kuwa jeshini au vp manake kila mahali ushoga upo hata makanisani misikitini cha ajabu nn jeshini tigo tam banana

We koma! Msikitini hakuna mashoga labda huko makanisani kwenu.
 

Umechanganya vitu viwili hapa.
Kwa kawaida Jwtz hawana mambo ya on service labda unasemea Jkt.
 
Just for ma interest, unataka ujue ili uende huko kuwa.. au nini interest yako haswa? Kila stadi na fani inahitajika jeshini. Wanasema, hao wanaojilipua kwa mabomu sehemu nyingi duniani, wanaingiziwa hayo makitu kupitia mlango huo wa uani, mpaka ndani kabisa halafu jamaa anakaa mbaali na remote anaibinya tu pale anapoona target, ndo maana wengi hawabaki, hivyo na hao wanahitajika jeshini pia kwa task maalum.
 
Muulize vzr huyo ndg yako. Icjekua na yy ni wa chama hilo. Sehemu yyte watu hujuana kwa nyendo zao mf wavuta bange na hujuana kwa ushiriki wao ye alijuaje? Hilo?
 

Jeshini hamna suicide bombings

Kwa kumbukumbu yangu mara ya mwisho a conventional army kutumia suicide attacks ilikuwa WW2 Kamikaze
 
unataka uthibitisho wa aina gani? Wakati ndugu yako kishakuhadithia au aje walale kwako uwaone
 
Ushoga upo karibu kila sehemu. Sasa nini cha ajabu ukiwepo JW?

Kuna wanasheria mashoga, kuna wahasibu mashoga, kuna wacheza mpira mashoga, kuna wakaanga chips mashoga, kuna wabeba zege mashoga, kuna wanamuziki mashoga.....taja fani au tasnia yoyote ile uwezekano wa mashoga kuwepo ni mkubwa.
 
Kwa nini hujaamini? Ushoga upo kila sehemu mpaka jeshini. Elewa kwamba siyo kila shoga ni "anti" yaani wale flamboyant. Unaweza kukuta mtu amekaa kigumu gumu lakini anapenda kukunwa ile sehemu.

Ha ha ha hii nchi mambo si mambo kwa ubwabwa
 
ushoga ni roho ya kishetani, hata mjeshi akiikubali ina mwingia then wanamgegeda kama kawa
 
....duh! Ushoga kila sehemu! hii ndiyo tatizo la vyakula vya makopo, tunavyoviita vya kisasa! "poleni sana, akina mama mnao wapa watoto wenu Cerelac na Lactogen"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…