mashitaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mashitaka

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Invo-cavity, Feb 10, 2012.

 1. I

  Invo-cavity New Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JUDICTION IKO VIPI KWENYE MAMBO YA KISHERIA?Mfn jambo linatokea wilaya moja kesi inapelekwa wilaya nyingine ?
   
 2. m

  moshingi JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JUDICTION = Jurisdiction????
  There are territorial Jurisdiction
  pecuniary Jurisdiction
  Concurrent Jurisdiction
  Original Jurisdiction
  Appellate Jurisdiction
  etcetera...

  Mahakama ya Hakimu mkazi Morogoro yanayo mamlaka(Jurisdiction) ya kusikiliza shauri toka eneo lolote la mkoa wa Morogoro
  japokuwa yenyewe ipo Moro mjini.
  Zipo kesi ambazo mahakama za wilaya hazina uwezo wa kusikiliza bali mahaka za hakimu mkazi au Mahakama kuu
  Kama bado hujapata jibu mpaka hapa basi huna budi kufafanua swali lako...
   
Loading...