Mashirika yanayo Ajii Bila Kuomba Vyeti vya Avademic, kwa wasailiwa,

Inategemea ulikuwa unafanya usaili kwa post gani.Post nyingine vyeti siyo vya muhimu.Mimi nikianzisha kampuni yangu vyeti ndiyo kigezo namba moja ili utofauti uwepo na faida hasi ya kutowasilikiza walimu darasani ionekane.

mh wewe kweli wa enzi za mkoloni.
 
Wakuu kwa kweli nakuwa wa Kwanza Kupongeza Baadhi ya Mashirika ambayo kwao Vyeti si ishu bai uwezo binafisi, Nakumbuka nilisha wahi hudhuria usaili katika Mashirika Matatu tofauti ambayo yote ni kutoka nje ya Nchi ila wana ofisi Bongo,

Katika Interview zao sikuombwa vyeti na na kumbuka katika Shirika Moja ambalo wasaili walikuwa ni Wazungu walifikia kuniuliza aliye kuambia ukete vyeti ni Nani? Na walinijubu hatuhitaji Vyeti hapa,

Hii nchi Imefikia Mahali Vyeti vinaonekana ndo kila kitu, na si uwezo wa Mtu binafisi, Mimi nayapongeza sana Mashirika yanayo fanya hivyo na mimi Mungu akinisaidia katika UJasirimali wangu si takaa ni ajili mtu kwa kumuuliza elimu yake bali kinacho mata ni uwezo,

Kuna watu wameshia Form Six lakini utakuta uwezo wao ni zaidi ya wenye degree na kuna ambao hawajaenda shule kabisa lakini wameweza hata Kugundua Mitambo fulani huku Ma Prof wakishindwa
Chasha it is possible they did not ask for Certificate because in oral interview you did not impress the panel. In case you had passed the oral interview, they will go ahead investigating your background through your referees and other means.

The businesses which employ without asking for someone's education are bars and restaurants
 
Last edited by a moderator:

Mkuu not like that, ni kwamba hawahitaji kabisa, hata ukipasi Interview, Mimi shilika ninalofanya nalo mtindo wao ni huo huo, Huwa hawaombi Vyeti,

Na hata hao niliofanya nao interview, mpaka mwisho hawakutaka vyeti ingawa nilikuwa navyo na Kuna Mzungu mmoja ambe ni Raia wa Ubeligiji ndie aliyeniambia hahitaji vyeti bali anacho taka ni Uwezo wangu wa kufanya hiyo kazi,
 
Chasha they trust through what you wrote in your CV; the problem with Tanzanians like you is that you dont believe you can be trusted
 
Last edited by a moderator:
Mmh!sijaelewa hata mantiki ya hii mada ya leo;tusisome au,
dah!ngoja niendelee kufkiri..................!
 
Mkuu not like that, ni kwamba hawahitaji kabisa, hata ukipasi Interview, Mimi shilika ninalofanya nalo mtindo wao ni huo huo, Huwa hawaombi Vyeti,

Na hata hao niliofanya nao interview, mpaka mwisho hawakutaka vyeti ingawa nilikuwa navyo na Kuna Mzungu mmoja ambe ni Raia wa Ubeligiji ndie aliyeniambia hahitaji vyeti bali anacho taka ni Uwezo wangu wa kufanya hiyo kazi,

Sijui hapo bila kuaqngalia vyeti watathibitishaje elimu yako.
 
Vyeti ni muhimu na kwa kawaida lazima mwajiri ajiridhishe ktk kuhakiki vyeti na CV ya mwombaji kabla ya kutoa ajira.Mwajiri hupima uwezo wa muombaji kazi kwa 'interview' na pia kukagua/kuhakiki vyeti na pia ule mda wa kukuangalia utendaji wako wa kazi kabda hujapewa ajira rasmi.Mwajiri
kukagua vyeti vya anayeomba kazi ni suala la kisheria,kiutamaduni,na pia ni la kimaadili kwa kazi yake yeye binafsi na jamii kiujumla na sio kitu cha 'fashion'.Mkuu ktk maelezo yako umesema kua,"Mzungu/HR alikuuliza kwa nini umeleta vyeti?HATUHITAJI VYETI HAPA!" huyo mzungu ALIKUONYA na kukutahadharisha kwamba uwe makini katika kupokea au kusoma taarifa kabda hujaifanyia maamuzi.Tangazo lao inaonesha halikuomba upeleke vyeti ila wewe uliambatanisha au uliwaomba wapokee vyeti vyako siku hiyo ya usaili.Ulitakiwa usubiri wakuombe vyeti na sio uwaombe watazame vyeti vyako.Kumbuka:Unapohudhuria usaili ni vema uwe umebeba vyeti vyako vya taaluma.:playball:
 
Mkuu usiongee kana kwamba ulikuwepo, Mimi nafahamu Moja ya mashirika ambayo kwao vyeti si ishu kabisa, Ila siko Tiyali kutaja Jina la hayo mashirika, na ishu ya Kwamba niliambiwa nizingatie mashariti sio kweli kwa sababu wale wzungu waliendesha Interview na baada ya kumalzia tulipewa kama masaa 4 ya kupumzika baadae tuliitwa na kupewa matokeao ya nani kachukuliwa, kwa sbabu ilikuwa ni nfasai moja alichukuliwa mwenzetu ila mpaka anachukuliwa hakuombwa vyeti na mpaka anaanza kazi haikuwa hivyo, so usibishe usicho kijua,

Huku Arusha kuna Makampuni kibao ya Wazungu ndo kabisa hawataki kusikia kitu Vyeti, wao wanacho taka ni uwezo wako wa kuweza kufanya kazi,

Na kuna NGOs moja ya Kimataifa wao ndo kabisa unaweza ajiliwa na Master yako ukijikuta unaongozwa na mtu mwenye certificate, yaani kwao Elimu si Ishu kabisa bali uzoefu, hata kama hukuenda shule lakini unaweza kudeliver haina shida kabisa,

So haya Mambo yapo ingawa kuna watiu wanapinga tu bila ushahidi wowote

Sijui hapo bila kuaqngalia vyeti watathibitishaje elimu yako.
Kwani veti ndo Elimu? Vyeti ukiwa na pesa unapata cha qualification yoyote ile unayo taka, and that is why some mashilika huwa wanaona ni bora wabezi kwenye experience na si veti,
 
Wakuu kwa kweli nakuwa wa Kwanza Kupongeza Baadhi ya Mashirika ambayo kwao Vyeti si ishu bai uwezo binafisi, Nakumbuka nilisha wahi hudhuria usaili katika Mashirika Matatu tofauti ambayo yote ni kutoka nje ya Nchi ila wana ofisi Bongo,

Katika Interview zao sikuombwa vyeti na na kumbuka katika Shirika Moja ambalo wasaili walikuwa ni Wazungu walifikia kuniuliza aliye kuambia ukete vyeti ni Nani? Na walinijubu hatuhitaji Vyeti hapa,
Hii nchi Imefikia Mahali Vyeti vinaonekana ndo kila kitu, na si uwezo wa Mtu binafisi, Mimi nayapongeza sana Mashirika yanayo fanya hivyo na mimi Mungu akinisaidia katika UJasirimali wangu si takaa ni ajili mtu kwa kumuuliza elimu yake bali kinacho mata ni uwezo,

Kuna watu wameshia Form Six lakini utakuta uwezo wao ni zaidi ya wenye degree na kuna ambao hawajaenda shule kabisa lakini wameweza hata Kugundua Mitambo fulani huku Ma Prof wakishindwa

Vyeti ni muhimu na kwa kawaida lazima mwajiri ajiridhishe ktk kuhakiki vyeti na CV ya mwombaji kabla ya kutoa ajira.Mwajiri hupima uwezo wa muombaji kazi kwa 'interview' na pia kukagua/kuhakiki vyeti na pia ule mda wa kukuangalia utendaji wako wa kazi kabda hujapewa ajira rasmi.Mwajiri
kukagua vyeti vya anayeomba kazi ni suala la kisheria,kiutamaduni,na pia ni la kimaadili kwa kazi yake yeye binafsi na jamii kiujumla na sio kitu cha 'fashion'.Mkuu ktk maelezo yako umesema kua,"Mzungu/HR alikuuliza kwa nini umeleta vyeti?HATUHITAJI VYETI HAPA!" huyo mzungu ALIKUONYA na kukutahadharisha kwamba uwe makini katika kupokea au kusoma taarifa kabda hujaifanyia maamuzi.

Tangazo lao inaonesha halikuomba upeleke vyeti ila wewe uliambatanisha au uliwaomba wapokee vyeti vyako siku hiyo ya usaili.Ulitakiwa usubiri wakuombe vyeti na sio uwaombe watazame vyeti vyako.Kumbuka:Unapohudhuria usaili ni vema uwe umebeba vyeti vyako vya taaluma.:playball:

Mkuu usiongee kana kwamba ulikuwepo, Mimi nafahamu Moja ya mashirika ambayo kwao vyeti si ishu kabisa, Ila siko Tiyali kutaja Jina la hayo mashirika, na ishu ya Kwamba niliambiwa nizingatie mashariti sio kweli kwa sababu wale wzungu waliendesha Interview na baada ya kumalzia tulipewa kama masaa 4 ya kupumzika baadae tuliitwa na kupewa matokeao ya nani kachukuliwa, kwa sbabu ilikuwa ni nfasai moja alichukuliwa mwenzetu ila mpaka anachukuliwa hakuombwa vyeti na mpaka anaanza kazi haikuwa hivyo, so usibishe usicho kijua,

Huku Arusha kuna Makampuni kibao ya Wazungu ndo kabisa hawataki kusikia kitu Vyeti, wao wanacho taka ni uwezo wako wa kuweza kufanya kazi,

Na kuna NGOs moja ya Kimataifa wao ndo kabisa unaweza ajiliwa na Master yako ukijikuta unaongozwa na mtu mwenye certificate, yaani kwao Elimu si Ishu kabisa bali uzoefu, hata kama hukuenda shule lakini unaweza kudeliver haina shida kabisa,

So haya Mambo yapo ingawa kuna watiu wanapinga tu bila ushahidi wowote

Mkuu,mimi nakubaliana na wewe kua;Hilo suala la kuajiri bila kutaka kuangalia vyeti linafanyika sana kwenye makampuni mengi na hata serikalini,ikiwemo hii serikali ya TZ na zinginezo,ila wana namna ya kujiridhisha kua utaweza kufanya kazi{suala la kukagua CV,Barua ya maombi,vyeti ni suala la kisheria na kimaadili na kama halifanyiki ni ukiukwaji tu wa maadili,}.Na pia kuna sehemu nyingine wanaajiri hata bila kufanya 'Interview'[watu wengi tu wamepata kazi tena nzuri bila kupeleka vyeti wala kufanya 'interview'(ila huwa wanaomba vyeti kabla ya contract ili kujua wameajiri watu wa level gani ya elimu ktk kampuni yao,maana haya makampuni huwa yanakaguliwa mara kwa mara):ktk maisha yao hawaijui interview ikoje],

Suala ninalotaka kukukumbusha katika mada uliyotoa hapa ni kwamba KWA NINI MZUNGU,'HR' ALIKUULIZA HILO SWALI?kwenye kijani na Jibu lake lipo hapo kwenye rangi nyekundu:Na niseme tu hiyo 'interview' labda uliifanya vizuri ila ushindani ulikua mkubwa[kama ulikosa kazi] na huyo mzungu aliamua tu akupe mwanga/ushauri wa namna ya ku 'deal' na taarifa mbalimbali zitakazohitaji umakini na uwajibikaji wako kuzikabili,Vinginevyo angeamua kukuacha tu na hilo kosa uendelee kulifanya katika interview nyingine.

Katika harakati za kutangaza kazi na kuomba kazi lazima kuwe masharti na huwa yanakua ya aina tofauti tofauti kutegemea na utaratibu aliojiwekea mwajiri,Ila mkuu ktk mada hii kwa nini wakatae vyeti vyako?,ni kwa sababu uliwapatia vyeti wakati wao hawakuvihitaji na hawakukuomba.[blue:hukuzingatia masharti]:playball:
 
Kwani veti ndo Elimu? Vyeti ukiwa na pesa unapata cha qualification yoyote ile unayo taka, and that is why some mashilika huwa wanaona ni bora wabezi kwenye experience na si veti,

Kigezo cha kwanza kujua kama una elimu ni kupitia vyeti.
 
Mkuu,mimi nakubaliana na wewe kua;Hilo suala la kuajiri bila kutaka kuangalia vyeti linafanyika sana kwenye makampuni mengi na hata serikalini,ikiwemo hii serikali ya TZ na zinginezo,ila wana namna ya kujiridhisha kua utaweza kufanya kazi{suala la kukagua CV,Barua ya maombi,vyeti ni suala la kisheria na kimaadili na kama halifanyiki ni ukiukwaji tu wa maadili,}.Na pia kuna sehemu nyingine wanaajiri hata bila kufanya 'Interview'[watu wengi tu wamepata kazi tena nzuri bila kupeleka vyeti wala kufanya 'interview'(ila huwa wanaomba vyeti kabla ya contract ili kujua wameajiri watu wa level gani ya elimu ktk kampuni yao,maana haya makampuni huwa yanakaguliwa mara kwa mara):ktk maisha yao hawaijui interview ikoje],

Suala ninalotaka kukukumbusha katika mada uliyotoa hapa ni kwamba KWA NINI MZUNGU,'HR' ALIKUULIZA HILO SWALI?kwenye kijani na Jibu lake lipo hapo kwenye rangi nyekundu:Na niseme tu hiyo 'interview' labda uliifanya vizuri ila ushindani ulikua mkubwa[kama ulikosa kazi] na huyo mzungu aliamua tu akupe mwanga/ushauri wa namna ya ku 'deal' na taarifa mbalimbali zitakazohitaji umakini na uwajibikaji wako kuzikabili,Vinginevyo angeamua kukuacha tu na hilo kosa uendelee kulifanya katika interview nyingine.

Katika harakati za kutangaza kazi na kuomba kazi lazima kuwe masharti na huwa yanakua ya aina tofauti tofauti kutegemea na utaratibu aliojiwekea mwajiri,Ila mkuu ktk mada hii kwa nini wakatae vyeti vyako?,ni kwa sababu uliwapatia vyeti wakati wao hawakuvihitaji na hawakukuomba.[blue:hukuzingatia masharti]:playball:

Mkuu katika wote walo fanyiwa Interview hata aliye chukuliwa hakuombwa Vyeti kabisa mpaka anaajiliwa, yaani veti wanakuja kuchukua tu kuweka kwenye Mafaili lakini si kwa kigezo cha kutaka kuajili,

Na hata hilo shilika jingine nalo ongelea wao mapka umeajiliwa hakuna sehemu utapeleka Cheti, Ila cheti huja kuhitajika kwa ajili ya Faili, na si kwa ajili ya Kuangalia kama ni sahihi au la, It means kwenye process yote mpaka kuajiliwa cheti huwa hakihitajili ila ukisha ajiliwa ndo utapeleka kwa ajili ya Kuweka kwenye faili lako la kazini,nazani nimeeleweka
 
Nimesikitishwa sana na mawazo yako ndugu yangu.. wapi hapo utakpoajiliwa bila elimu?? elimu ni inajenga maarifa matumizi ya maarifa yanakupa ujuzi... tambua kitu kimoja taasisi nyingi mfano TBS. NIMR, TFDA kwa uchache wadau wanaweza toa mifano zaidi hata uwe na GPA ya 5 ukishaajiriwa pale uteanda training ya muda mfupi halafu ujuzi wa kazi utajengeka taratibu labda uongelee kazi za kutengeneza radio, simu ama kuhesabu pesa benki ila kwa mashirika ama taasisi makini kuna bases/ground/misingi ya kuajiri lazima mtu anayeajiriwa awe na A...B..C.. ya kile atakachoenda kukifanya na hii iko reflected katika vyeti n not otherwise mengine ya uwezo sana ama la linabaki kuwa udhaifu/uzembe wa mtu binafsi. jaribu kutafakari kwa mara ya pili hizi kazi zingekuwa zinatangazwa bila kuweka vigezo vyovyote mwajiri huo usaili ungekuwa unachukua muda gani teteeeehhh... usiwape moyo wenye Div O hapo lazima watengeneze cheti kwanza. Swali la kizushi kwako nitajie taasisi yoyote iliyowahi kutangaza kazi bila kuweka kigezo cha elimu usipepese macho wala kutingisha masikio
 
Wakuu kwa kweli nakuwa wa Kwanza Kupongeza Baadhi ya Mashirika ambayo kwao Vyeti si ishu bai uwezo binafisi, Nakumbuka nilisha wahi hudhuria usaili katika Mashirika Matatu tofauti ambayo yote ni kutoka nje ya Nchi ila wana ofisi Bongo,

Katika Interview zao sikuombwa vyeti na na kumbuka katika Shirika Moja ambalo wasaili walikuwa ni Wazungu walifikia kuniuliza aliye kuambia ukete vyeti ni Nani? Na walinijubu hatuhitaji Vyeti hapa,

Hii nchi Imefikia Mahali Vyeti vinaonekana ndo kila kitu, na si uwezo wa Mtu binafisi, Mimi nayapongeza sana Mashirika yanayo fanya hivyo na mimi Mungu akinisaidia katika UJasirimali wangu si takaa ni ajili mtu kwa kumuuliza elimu yake bali kinacho mata ni uwezo,

Kuna watu wameshia Form Six lakini utakuta uwezo wao ni zaidi ya wenye degree na kuna ambao hawajaenda shule kabisa lakini wameweza hata Kugundua Mitambo fulani huku Ma Prof wakishindwa

nakuunga mkono na miguu
 
Back
Top Bottom