Sitaki kuamini
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 1,145
- 1,344
- Thread starter
- #521
Azia ulipo mkuu achana na story za vijiweni,mwaka utaisha huu unajiuliza kitu hichohicho!!!!Wakuu nataka kufanya hii biashara changamoto zake nini kama huna tipa sehemu niliyopo block tofali 1400 vipi siwezi kupata faida hata kama tipa nakodi
Execute jambo lako, mengine yatakukuta mbele