Sitaki kuamini
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 1,194
- 1,392
- Thread starter
- #501
Karibuni sana wakuu tunafanya delivery popote pale Tanzania na nchi Jirani
Nipigie 0740374705
Nipigie 0740374705
Kwa nini mkuu nataka kufanya hii kituUsifanye biashara ya tofali kama huna gari ya mchanga au ya kusafilisha tofali kwenda kwa mteja
Dogo kawaida tu
Azia ulipo mkuu achana na story za vijiweni,mwaka utaisha huu unajiuliza kitu hichohicho!!!!Wakuu nataka kufanya hii biashara changamoto zake nini kama huna tipa sehemu niliyopo block tofali 1400 vipi siwezi kupata faida hata kama tipa nakodi