Sungura dume
JF-Expert Member
- Mar 28, 2016
- 574
- 529
Nauza mashine za kukoboa, kusaga, na kukamulia alizeti mwenye kuitaji ani pm tufanye biashara.
Zipo wapi?ongeza nyama kwenye bandiko na ni vizuri ukatuwekea na tupichaNauza mashine za kukoboa, kusaga, na kukamulia alizeti mwenye kuitaji ani pm tufanye biashara.
Zipo msata kiangaikoZipo wapi?ongeza nyama kwenye bandiko na ni vizuri ukatuwekea na tupicha
Nipo interested na hiyo ya kukamua mafuta hebu nipe specifications zake na jee ipo na mashine ya kuchuja mafutaZipo wapi?ongeza nyama kwenye bandiko na ni vizuri ukatuwekea na tupicha
Nicheck pm mkuu kwa mawasiliano zaidi ili tuyajengeNipo interested na hiyo ya kukamua mafuta hebu nipe specifications zake na jee ipo na mashine ya kuchuja mafuta
Nipe mawasiliano yako mengine tuongeeNicheck pm mkuu kwa mawasiliano zaidi ili tuyajenge
Mkuu ulianza vizuri lakini sasa ukubwa unakushinda,Nicheck pm mkuu kwa mawasiliano zaidi ili tuyajenge
Moja ya vitu nachukia ni maswala ya kuleta biashara nusu nusu haijakamilika, pili ukiuliza kitu njoo (pm) huko pm watu washatapeliwa Sana na ushaidi upo humu.Mkuu ulianza vizuri lakini sasa ukubwa unakushinda,
Nini kinakulazimisha uwapeleke watu Pangoni Mkuu (PM) wakati biashara umeitangaza kwa wote? weka mambo hadharani kila mtu ajipinde mwenyewe
Samahani km nimekukwaza
Hahahaaa.. Na akiibiwa mtu anapiga kimya naye!Anaibiwa mtu ss hv....