Sido kina reli na mipira yake. Pia Kuna vifaa vya umeme.Cha sido au cha kichina?
Weka picha tuone kisha rekebisha bei tumalize biashara
Kimetumika kwa muda gani? Nahitaji mashine kamili.Sido kina reli na mipira yake. Pia Kuna vifaa vya umeme.
Bri 870,000_=
Kimetumika kwa muda gani? Nahitaji mashine kamili
SawaVitu Vingine nilishauza nimebaki na mashine ya kushonea viloba na vifaa vya umeme