Mponda 02
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 534
- 508
Anza na huu ushauri, ukishindwa ndio uende dukani.Nenda shule ya msingi buguruni malapa nyumba ya petrol station ya lake oil pale ilala ile ni shule maalum ya watoto wenye ulemavu hasa wa masikio wanazigawa bure hizo Mashine ni Masada kutoka kwa wafadhili zamani ilikuwa kwa wanafunzi wao pekee ila sasa ni kila Mtu anaeweza kuwafikia kaulizie mapema upate kujua utaratibu, maana mwezi huu wa kumi na moja mwishoni kuna project ya kuzigawa inaanza tarehe27-29 nenda ulizia utanishukuru baadae.
Starkey Hearing Foundation ya Marekani hugawa bure hizo mashine kwa watu wasiosikia pale Buguruni.