Mashine za kushona nguo zinauzwa

Mashine za kushona nguo zinauzwa

Pandamlima

Senior Member
Joined
Feb 27, 2013
Posts
143
Reaction score
13
Biashara wadau,

Aina:

single needle (normal and automatic)
Overlock 4thread and 5thread
Bartacking machine
Coverstitch..kwa ajili ya T-shirt

Mashine ni nzuri sana ..industrial, tunapatikana Dar

kwa bei na maelezo zaidi ni pm

Karibuni
 

Attachments

  • IMG_20131007_122311.jpg
    IMG_20131007_122311.jpg
    400.1 KB · Views: 884
  • IMG_20131010_164204.jpg
    IMG_20131010_164204.jpg
    427.2 KB · Views: 759
  • IMG_20131130_112127.jpg
    IMG_20131130_112127.jpg
    310.2 KB · Views: 741
Wadau zilikuja mpya zikatumika kidogo hapahapa Tanzania, kwa hiyo zina hali nzuri sana

Karibuni
 
Hakuna ku pm .
Hembu weka bei,kwani ni bangi hii au unga?

Mbona mnaleta biashara za kizamani wajameni.

Kuna vitu vingi hujaeleza,maana wengine wake zetu mafundi hapa wanataka kujua.Tunajua ni heady duty Machines
-Moja kubwa ni kwamba zimetumika muda gani?
-Made in Wapi?
-Brand Name.
-Kwanini Mnaziuza
-Hiyo kutumika kidogo ni kwa muda gani?
-Mlinunua mpya au Mitumba
 
Ok Zanzibar spice,, hizi mashine ni heavy duty ..industrial ,,lakini hata fundi wa kawaida mtaanai anatumia ,,faida ni kwamba ufanisi wa kazi utaongezeka, ubora wa product utakuwa juu sana, na muda wa kufanya kazi utapungua , kwa sababu hizi mashine zina spidi kwa hiyo kwa muda mfupi unafanya kazi kubwa..

Brand name ,,tuna SOSTAR, OSHIMA NA KANSAI

Zimetumika hapa bongo kama mwaka mmoja,,,ni kiwanda mwekezaji amefunga na ameamua kuuza

Kwa maelezo ya Bei nipigie tuongee..0719 575791,,asante
 
Acha kujizungusha kwa maelezo mengi, we tupia bei ili tujue kama tunaweza kukupigia au lah..
Ni vyema bei ikawa wazi kwa wote maana si biashara ya magendo, au ni magendo?
Au wewe ni dalali nini?
 
Muwezkzaj haziuz tena anatfta mtu wa kumuwekea bondi aendlea kula bata dar
 
Wengi wape, bei ni kama ifuatavyo

SINGLE NEEDLE -NORMAL 850,000 - AUTOMATIC 1,250,000

OVERLOCK 4THREAD 1,200,000

OVERLOCK 5THREAD 1,300,000

LEATHER MACHINE 2,000,000

BARTACKING 3,000,000

SNAP BUTTON ATTACH MACHINE 600,000

COVERSTITCH MACHINE 1,300,000

KARIBUNI
 
Bei sio mbaya maana hicho ni kiwanda kamili.Na bei zake zinajulikana kwamba sio rahisi.
Ukiwa na kama 20M,basi kiwanda kimekamilika hapo.
 
Zanzibar yani 20 m ni kiwannda tena sio masihara,,kuna watu tumewauzia za 15m yani ofisi imekamilika sasa wanakula vichwa mjini hapa,,,na hizo bei kuna discount kidogo
 
Back
Top Bottom