mashine za kuprint t-shirt

kichwanazi

Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
89
Reaction score
9
msaada wakuu
hivi mashine za ku-print t-shirt zinapatikana wapi na bei yake ni sh. ngapi? nahitaji kununua ...!!!!
natanguliza shukrani........!!!!!!!
 
mashine za aina gani? maana kuna wide range of varieties of those machines,
 
msaada wakuu
hivi mashine za ku-print t-shirt zinapatikana wapi na bei yake ni sh. ngapi? nahitaji kununua ...!!!!
natanguliza shukrani........!!!!!!!

subiri wataalamu waje.....!!!!!!!!!!
 
350,000 kwa wachina zinaprint fulana, vikombe, sahani na vikoro koro kibao. nenda kariakoo mtaa wa skukuu ukitoka skukuu na narung'ombe kama waenda skukuu na agrey duka lipo mkono wa kushoto kama unaangalizana na concord hotel
 
Mkuu naomba nsaidie jina la hilo duka, maana nmezunguka pale sijaona, ni jirani na hotel ya king palace au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…