ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,095
- 2,291
Wadau kwa mwenye kujua mashine/printers zinazoprint pvc cards/plastic cards kama vile ATM CARDS, VITAMBULISHO AU BUSINESSCARDS, kwa maana ya zinakowezapatikana nchini Tanzania na pia bei zake zikoje? Anisaidie tafadhali.
Kuhusu business PVC cards printer/PVC ID cards printer unaweza kutumia EPSON Mfano L800 lakini utahitaji kutumia wino wa PIGMENT ambao nitofauti na ule wino wa DYE unaokuja na Printer (ndio unaotumika kwa matumizai ya kawaida).
Kuhusu kuprint SMARTCARDS watafure DATACARD PRINTERS ingia kwa hawa jamaa wa Kenya Total Solutions