Mashine za kuangulia vifaranga vya kuku

Mashine za kuangulia vifaranga vya kuku

Expedito Mduda

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Posts
545
Reaction score
268

Ili mayai ya kuku yaweze kuanguliwa kunahitajika kuwe na mambo matatu muhimu:
1. Joto linalotakiwa kwa ajili ya kuangulia mayai
2. Uvukevuke unaohitajika ili mayai yasipoteze maji mengi mno wakati wa kuatamiwa
3. Mayai kugeuzwageuzwa angalau mara tatu kwa siku na zaidi ya hiyo mara tat uni vizuri zaidi.
Kwa asili kazi hizo hufanywa na mama kuku akiwa ameatamia mayai yake kwa ufanisi mkubwa sana. Tatizo linaloletwa na utaratibu huu kwa mfugaji ni kuwa mara nyingi kuku huatamia mayai machache tu kwa wakati mmoja. Kwa mfugaji wa kuku anayetaka kufuga kibiashara mfumo huu si mzuri kwa kuwa mfugaji atapata vifaranga wachache tu tofauti labda na idadi inayotakiwa.
Ili kuondoa shida hii, mashine ambazo hufanya kazi ya mama kuku. Mashine hizo zina uwezo wa kutoa :
1. Kutoa jito linalotakiwa kuangua vifaranga
2. Unyevunyevu (humidity) unaotakiwa
3. Kugeuza mayai mara nyingi kwa kadri inavyotakiwa
Sisi tunatengeneza mashine hizo ambazo zinaitwa incubators. Mashine hizo ni automated kwa maana ya kuwa hufanya kazi hizo zote zenyewe. Hii inasaidia kumpunguzia mfugaji kazi ya kuangalia mayai muda ambao mayai hayo yapo kwenye kiatamizi.
Tunatengeneza mashine za ukubwa tofautitofauti. Mashine hizo zina uwezo wa mayai kutoka 300 hadi 2000.
Kama unahitaji mashine ndogo zaidi ya mashine ya mayai 300 basi tunaweza kukutengenezea na kama unahitaji mayai mengi zaidi ya 2000 nayo pia tutakutengenezea.
Kwa kuwa wateja wetu wengi wameonesha kuhitaji mashine za mayai machache pia kulingana na kiasi cha ufugaji wao, tumeanza kutengeza mashine za mayai 90, 120, 120, 150, 180, 210, 240, na 270n pia.
TUWASILIANE KWA: 0753903809, 0655903809
Au kwa e-mail zifuatazo:
expecamdu@gmail.com
expecamdu@ymail.com
au tembelea hapa:
www.mrmduda.blogspot.com
KARIBUNI SANA.
Sisi tupo Iringa.
 
Safi sana mkuu, hii kitu hata mimi nilikuwa naitafuta sana nikawa napata zile za kugeuza mwenyewe ambazo kwa kweli ni very time consuming. Ungetutupia na range za bei mzee ili tujue tunajipangaje ingekuwa poa sana
Anyways big up sana
 
Mkuu tafadhari tunaomba
1/Uweke picha kama kielelezo
2/Tupe na bei
 
Huyu jamaa ni tapeli na jihadhari naye hii ni thread ya tatu analeta na zote akisha post huingia mitini, hajibu, kitu, na katika swala la Incubators linahitaji uangalifu wa hali ya juu, unaweza jinyonga, anacho fanya jamaa ni majaribio ya mashine zake alizo tengeneza
 
Jamaa kaisha ingia mitini subirini thread nyingine kesho au kesho kutwa
 
Ili mayai ya kuku yaweze kuanguliwa kunahitajika kuwe na mambo matatu muhimu:
1. Joto linalotakiwa kwa ajili ya kuangulia mayai
2. Uvukevuke unaohitajika ili mayai yasipoteze maji mengi mno wakati wa kuatamiwa
3. Mayai kugeuzwageuzwa angalau mara tatu kwa siku na zaidi ya hiyo mara tat uni vizuri zaidi.
Kwa asili kazi hizo hufanywa na mama kuku akiwa ameatamia mayai yake kwa ufanisi mkubwa sana. Tatizo linaloletwa na utaratibu huu kwa mfugaji ni kuwa mara nyingi kuku huatamia mayai machache tu kwa wakati mmoja. Kwa mfugaji wa kuku anayetaka kufuga kibiashara mfumo huu si mzuri kwa kuwa mfugaji atapata vifaranga wachache tu tofauti labda na idadi inayotakiwa.
Ili kuondoa shida hii, mashine ambazo hufanya kazi ya mama kuku. Mashine hizo zina uwezo wa kutoa :
1. Kutoa jito linalotakiwa kuangua vifaranga
2. Unyevunyevu (humidity) unaotakiwa
3. Kugeuza mayai mara nyingi kwa kadri inavyotakiwa
Sisi tunatengeneza mashine hizo ambazo zinaitwa incubators. Mashine hizo ni automated kwa maana ya kuwa hufanya kazi hizo zote zenyewe. Hii inasaidia kumpunguzia mfugaji kazi ya kuangalia mayai muda ambao mayai hayo yapo kwenye kiatamizi.
Tunatengeneza mashine za ukubwa tofautitofauti. Mashine hizo zina uwezo wa mayai kutoka 300 hadi 2000.
Kama unahitaji mashine ndogo zaidi ya mashine ya mayai 300 basi tunaweza kukutengenezea na kama unahitaji mayai mengi zaidi ya 2000 nayo pia tutakutengenezea.
Kwa kuwa wateja wetu wengi wameonesha kuhitaji mashine za mayai machache pia kulingana na kiasi cha ufugaji wao, tumeanza kutengeza mashine za mayai 90, 120, 120, 150, 180, 210, 240, na 270n pia.
TUWASILIANE KWA: 0753903809, 0655903809
Au kwa e-mail zifuatazo:
expecamdu@gmail.com
expecamdu@ymail.com
au tembelea hapa:
www.mrmduda.blogspot.com
KARIBUNI SANA.
Sisi tupo Iringa.

Mkubwa siku hizi watu wapo interested sana na masuala ya ujasiliamali,hivyo unapotoa thread kama hizi ni vema ukawa serious kuzipitia na kujibu maswali ya wadau vinginevyo hamna maana ya kuweka thread hapa.Kama hupo naomba unijibu maswali yafuatayo.
1. Naomba bei ya hizo incubator kulingana na idadi ya mayai yanayoweza kutotolewa kwa wakati mmoja.
2. Kwa wateja walio nje ya Iringa una utaratibu gani wa kuwafikia endapo watahitaji.
3. Weka picha za hizo incubator kama wadau walivyoshauri na ujibu hoja na maswali ya wachangiaji ili kuleta tija kwa hiki ulichokileta.
 
Jamaa ni tapeli na Kesho subiria thread nyingine mpya tena,

Mkuu tafadhari tunaomba
1/Uweke picha kama kielelezo
2/Tupe na bei
Hiz hapa
IMG-20220502-WA0007.jpg
IMG-20220524-WA0003.jpg
IMG-20220502-WA0000.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom