Mashine za kuangua vifaranga

Mashine za kuangua vifaranga

FIELDMARSHAL

New Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
1
Reaction score
0
Wanajamii wenzangu karibuni tena katika uwanja wa ujasiliamali.Kwa ajili ya kuwasaidia vijana wenzangu nimekuja na mashine za kuangulia vifaranga ambayo inatumia umeme na mafuta ya taa.Hivyo kwa wale wa kijijini ni suluhisho tosha kwa matatizo ya umeme.Hata kwa wale wa mjini pia ni mbadala wa umeme usioaminika.Hivyo karibuni katika kukuza vipato vyetu.


Ukiitali namba yangu ni 0717-901491
0755-923636
 
Back
Top Bottom