Mashine za EFD kugawiwa bure kwa wafanyabiashara wadogo

Michael Chairman

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
922
583
Hayo yamezungumzwa na kamishna wa mapato ndugu Alphayo kidata wakati akizungumza na waandishi wa habari na kueleza kuwa serikali itagawa mashine za EFD yaani (Electronic Fiscal Devices) kwa wafanya biashara wadogo wadogo , jumla ya mashine 5700 zitagawiwa bure . Ilikuondoa dhana ya wafanya biashara wadogo wadogo kushindwa kutoa risti kwa kisingizio cha kukosa fedha za kununulia mshine za EFD. Mashine hizi zitaanza kugawiwa mwezi ujao mara baada ya mashine kufika.
my take ... kuna mwanga sasa kwa serikali yetu kuboresha ukusanyaji mapato
 
Back
Top Bottom