Mkuu almost ni elimu ndogo tu hata yakijinga.
Mi nilijaribu kuongea na wale jamaa kuhusu ufanyaji kazi wa zile mashine ukoje wakanielezea kijinga jinga tu, nikawauliza nyie mmesomea ?
Wakajibu hapana ili tulikuwa kwenye semina elekezi sijui wapi.
Nilipata wasi wasi sana mana jamaa uzoefu na mashine hawana kabisa wako slow mpaka kelo.
Nilitamani sana kujua kama kuna uwezekano wa mtu kupata ID mbili, nikagundua kwamba almost ni POSSIBLE kwa wazee hasa hasa.
Mana niliona wazee wasiojua kuandika wanawachukulia kama ni disable people kwahiyo hawaweki fingerprint, kwahiyo mzee ana uwezo wakwenda sehemu nyingine kujisajili tena nakutia sahihi kabsa kama kule alisema hawezi.
Nchi za wenzetu huwa wanaita hackers kufanya penetration ya connection chanel ya zile mashine kwa dau flani.
kama walivyofanya nadhani wenzetu Kenya kwenye Machine zao.