Mashine za BVR wanatumia program gani kuingiza data

Mashine za BVR wanatumia program gani kuingiza data

DUMEGUY

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
499
Reaction score
206
Mambo vipi wadau nilitaka kujua ni program gani inatumika kuingiza data kwenye mashine za bvr je ni MS ACCESS au MS EXCELL ,
 
sio access wala excell ni program maalumu kabisa imedizainiwa for bvr. kwa sababu hata ukiwasha pc haisemi windows loading ila inachoandika ni bvr kwa kirefu loading.
 
Inaitwa BIDVOTE ni too complicated Haina back ukivurunda tu unairestart.
 
Kwahiyo haifanani na ms access walla ms excel
 
Mambo vipi wadau nilitaka kujua ni program gani inatumika kuingiza data kwenye mashine za bvr je ni MS ACCESS au MS EXCELL ,

Undani wa BVR uko kwa kificho sana hata wenye haki ya kupata taarifa zake kama vyama vya upinzani hawapewi. Kuna mchezo mchafu sana umefichwa kwenye bvr. Labda Nape aliimanisha hili ndilo goli la mkono.
 
OK, mtu aliesomea advance ms applications kama ms word,ms access ataweza kuiendesha hii mashine au inaitaji elimu kubwa
 
Mambo vipi wadau nilitaka kujua ni program gani inatumika kuingiza data kwenye mashine za bvr je ni MS ACCESS au MS EXCELL ,

Napenda kuwa watanzania wanavyokuwa wadadisi kwenye teknolojia.
 
OK, mtu aliesomea advance ms applications kama ms word,ms access ataweza kuiendesha hii mashine au inaitaji elimu kubwa

Ni rahisi kuitumia.

Ni step wise,

Hata layman akielekezwa anaweza.

Chamsingi ni kuwa na ABC za pc.
 
Inaitwa BIDVOTE ni too complicated Haina back ukivurunda tu unairestart.

Yap ni kweli

Iko restricted kwa BVR operators

Ila uki login kama administrator, waweza kufungua file explore.

Na kufanya kile utakacho.

Mfano baada ya ku_ back up data lazima ulogin kama admin ili uthibitishe kama data ipo, na size ya back kabla ya kuhamisha flash kwenye mashine nyingine.
 
Kumbe ni simple hivyo nilikuaga najua labda inamlolongo mreefu kama ms excel au MS ACCESS kumbe ukiijua pc ni simple kutumia,
 
Kwamaana hiyo unaweza kulogin kama admin au operator , na tofauti ya operator na admin itakua ipi hapo.
 
Kwamaana hiyo unaweza kulogin kama admin au operator , na tofauti ya operator na admin itakua ipi hapo.

Ukilogin

1. Kama bvr operator - Utaweza kuingiza taarifa za mtu unayemsajiri, edit hizo taarifa na kisha ku_print katika kadi.

2. Kama Administrato - Utaweza kufanya yale yote ambayo BVR hawezi kufanya.

TOFAUTI iliyopo - Admin anauwezo wa ku- enable windows file explorer na kuweza kutumia start menu kama ilivyo kwa start menu ya windows 7

Admin anaweza kuchomeka flash na kuoma content ya flash.

Admin pia anaweza kufanya BackUp ya data ambazo tayari zimekwisha ingizwa kwenye system.

Wakati haya yote BVR operator hawezi na wala hajui inafanyika vipi.

Maana yeye BVR operator aiwashapo pc itamletea moja kwa moja ile interface anayoifanyia kazi ya kusajiri.
 
OK, umesomeka mkuu kumbe operator akiwasha pc tu anakutana na option za kujaza taarifa na si aanze kutengeneza fomu ili ajaze taarifa tena kama ufanyavyo kwenye ms access and ms excel,
 
OK, umesomeka mkuu kumbe operator akiwasha pc tu anakutana na option za kujaza taarifa na si aanze kutengeneza fomu ili ajaze taarifa tena kama ufanyavyo kwenye ms access and ms excel,

Ndio jinsi ilivyo, ni mwendo wa NEXT, NEXT ,(Huku ajiza taarifa zilizo andikwa kwenye form no.1) ………… PRINT
 
Mkuu ushabaatika kufanyia izi mashine izi mashine kama operator, Nina swali
 
OK, mtu aliesomea advance ms applications kama ms word,ms access ataweza kuiendesha hii mashine au inaitaji elimu kubwa

Mkuu almost ni elimu ndogo tu hata yakijinga.

Mi nilijaribu kuongea na wale jamaa kuhusu ufanyaji kazi wa zile mashine ukoje wakanielezea kijinga jinga tu, nikawauliza nyie mmesomea ?
Wakajibu hapana ili tulikuwa kwenye semina elekezi sijui wapi.

Nilipata wasi wasi sana mana jamaa uzoefu na mashine hawana kabisa wako slow mpaka kelo.

Nilitamani sana kujua kama kuna uwezekano wa mtu kupata ID mbili, nikagundua kwamba almost ni POSSIBLE kwa wazee hasa hasa.
Mana niliona wazee wasiojua kuandika wanawachukulia kama ni disable people kwahiyo hawaweki fingerprint, kwahiyo mzee ana uwezo wakwenda sehemu nyingine kujisajili tena nakutia sahihi kabsa kama kule alisema hawezi.

Nchi za wenzetu huwa wanaita hackers kufanya penetration ya connection chanel ya zile mashine kwa dau flani.
kama walivyofanya nadhani wenzetu Kenya kwenye Machine zao.
 
OK, maana Nina Ndugu yangu kapata zali kufanyia kwenye kitengo cha bvr ilihali kwenye ms access na ms excel hayuko fiti, swali je ataweza kuioperate kweli ila anaju kompyuta vizuri tuu
 
OK, maana Nina Ndugu yangu kapata zali kufanyia kwenye kitengo cha bvr ilihali kwenye ms access na ms excel hayuko fiti, swali je ataweza kuioperate kweli ila anaju kompyuta vizuri tuu

Ataweza.
 
Back
Top Bottom