Mashine yakukamulia mafuta yalizeti inaitajika

Poxino

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
727
Reaction score
53
wadau polen nakuwajibika nombeni msada kwa anaye jua bei yamasine zakukamua mafuta ya halizeti na mahali zinapo uzwa mm nipo dar es salaa natanguliza shukran ktk ilo
 
...
...ipo ipo New kabisa hapa Dar kuna mtu kaagiza from China...3 months ago..

...Capacity per day 8 drums...or 1600 liters ... ni pm labda mshindwane bei...be serious
 
bei gani kaka anauza uyo alio agiza china
 
...
...ipo ipo New kabisa hapa Dar kuna mtu kaagiza from China...3 months ago..

...Capacity per day 8 drums...or 1600 liters ... ni pm labda mshindwane bei...be serious

Anauza bei gani kaka
 
wadau polen nakuwajibika nombeni msada kwa anaye jua bei yamasine zakukamua mafuta ya halizeti na mahali zinapo uzwa mm nipo dar es salaa natanguliza shukran ktk ilo

Nenda SIDO kaka wanazo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom