Mgoda simtwange
Senior Member
- Sep 7, 2012
- 168
- 64
Wadau naomben msaada wadau. natafuta drum unit ya photocopy mashine aina ya IR 1600. Nipo Dar es salaam. Tafadhali mtu yeyote anayejua anisaidie kwa kunielekeza mahali naweza kuinunua (zinapouzwa) na bei yake hapa Dar. Natanguliza shukrani.