nauliza mashine ya photocopy huwa zinauzwa bei gani na printer inauzwa bei gani. Nahitaji msaada wenu wa majibu
Mimi nauza used heavy duty Canon, photocopy and printing kwa 2.8M
Biz hub konika Minolta full colour printer price 1.9m (scanning, printing & photocopy)
Mkuu na spea zake unauza?
Mkuu na spea zake unauza?
haina tatizo lolo te