Mashine ya kutengenezea popcorn inahitajka

Mashine ya kutengenezea popcorn inahitajka

Mr.genius

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
1,372
Reaction score
1,207
Habarini ndugu zangu wana JF, wapendwa nahitaji kujua wapi ninaweza kupata hizi mashine za kutengenezea popcorn bei zikoje na zinatumia nishati gani yeyote mwenye info please msaada tutani!!!
 
Kwanza google humu JF kuna uzi kama huo umeeeleza kwa kina.

Zimejaa tele maduka ya Hardware Kariakoo
 
Back
Top Bottom