Mashine ya kutengenezea chakula cha pallet inauzwa

makua

JF-Expert Member
Dec 9, 2013
208
39
Habari JF,
Hii mashine inauzwa, ni mashine ya kutengenezea chakula cha pellet (pellet machine)
Inauwezo wa kutoa pellet ngumu,na inazalisha Tani 1 kwa saa imetumika miezi miwili tu
20161125_182311.jpeg
.
Bei ni Milioni 10
Ninapatikana Binju B,
Mawasiliano 0656646495
 
Back
Top Bottom