Kwetu maana tuna mjali mteja hasa anaeanza mashine hii ni million saba na nusu tu ikiwa complete kabisa uwezo wake ukiwa miche 150 kwa saa
Unalipa asilimia 75% ofisini kwetu ndipo tunaanza kutengeneza siku Tisa inakuwa tayari karibu vingunguti 0762612213
Sent using
Jamii Forums mobile app