Mashine ya kutengeneza sabuni za miche sasa utaipata kupitia Najidakia Store office Mbezi Beach

Miche 150 Kwa saa, Kwa anayeanza Ni mingi mno!

Hakuna mashine ndogo kama ya Miche 50 Kwa saa kupunguza gharama?

Na je, inatumia nishati gani, mafuta au umeme?
Tupo kulifanyia utafiti hili Mkuu ipatikane mashine ndogo shida ipo kwenye vifaa
 
vizuri,kwa ushauri tu,muwe mnaelekeza na material yanapatikana wapi na kwa bei zipi?
 
Hii machine, kama miezi minne iliyopita ulinambia 7.5M, Leo imedouble! Basi sawa
 
Hii machine, kama miezi minne iliyopita ulinambia 7.5M, Leo imedouble! Basi sawa
Mashine inaboreshwa Mkuu mwanzo ilikuwa simple mixer Kwa sasa ni mixer Kubwa Lita 300 yenye control temperature
cutting unit na labelling vimefanya bei isiwe hapo tena
7.5m ni plodder au mashine ya kuweka maumbo tu bila unit zake
 
Unaweka taarifa nusu nusu sana Mkuu, tofauti ya hiyo ya Milioni & na ya Milioni 13.5 ni nini? Materials ya kutengenezea hizo sabuni mteja atayapata wapi?

Mnafanyaje biashara za namna hii? Aaah, Pumbavu!
 
Mbona namba mliyo weka aipatikani maboss nahitaji mashine naha matiriya nipo bukoba
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom