Mashine ya kutengeneza sabuni za miche sasa utaipata kupitia najidakia store office mbezi beach


NAJIDAKIA STORE

NAJIDAKIA STORE

Senior Member
Joined
Nov 26, 2018
Messages
141
Likes
73
Points
45
NAJIDAKIA STORE

NAJIDAKIA STORE

Senior Member
Joined Nov 26, 2018
141 73 45
Mashine ya kutengeneza sabuni sasa najidakia online store watakuwezesha kuipata tumefungua office mbezi beach
Wajasiriamali wengi na wale wanaohitaji kuingia wanakosa taarifa sahihi tumeliona hili kwa kuunganisha site zetu nne za utengenezaji wa mashine mbalimbali ndani ya nchi na pia tunao wale wanaoagiza kutoka nje Kikubwa upate taarifa sahihi katika bei rahisi kuendana na uchumi wetu (agiza pia kupitia kwetu huduma hii tutaitoa yote kumkomboa mjasiriamali wa chini)

Mashine ya sabuni kupitia kwetu najidakia store utaipata kwa million saba na nusu hapa ikiwa complete kabisa
kwa uzalishaji wa miche 150 kwa saa

malipo ili utengenezewe hii mashine

Hii mashine inatengenezwa kwa kuweka oda unalipa asilimia 75% au robo tatu utachagua wewe ulipie ofisini kwetu mbezi beach najidakia store ndani ya siku saba mashine inakuwa tayari utaelekezwa kila kitu namna ya kuendesha na kufanya uzalishaji wako bila kusahau utafungiwa kwenye site yako (kwa ndani ya dar ni laki mbili tu gharama za kuifunga nje ya dar kinachoongezeka ni gharama za usafiri na malazi ni juu yako

TUIJENGE TANZANIA YA VIWANDA KARIBU TUSHAURIANE application yetu najidakia deals ipo playstore na website yetu najidakia(tunaogopa kuweka link) kuzingatia kanuni za jf tupigie huduma kwa wateja najidakia store 0762612213 sms/whatsapp
 

Attachments:

NAJIDAKIA STORE

NAJIDAKIA STORE

Senior Member
Joined
Nov 26, 2018
Messages
141
Likes
73
Points
45
NAJIDAKIA STORE

NAJIDAKIA STORE

Senior Member
Joined Nov 26, 2018
141 73 45
lala ukiwa umeipitia hii post
 
miss naire

miss naire

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2016
Messages
231
Likes
199
Points
60
miss naire

miss naire

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2016
231 199 60
nimeipenda mnoo,ni nzur ila sasa uje uichukuwe uanze uzalishaji,mara TBS,TFDA,SIDO,TRA,wote wanakufuata nyuma
 
NAJIDAKIA STORE

NAJIDAKIA STORE

Senior Member
Joined
Nov 26, 2018
Messages
141
Likes
73
Points
45
NAJIDAKIA STORE

NAJIDAKIA STORE

Senior Member
Joined Nov 26, 2018
141 73 45
nimeipenda mnoo,ni nzur ila sasa uje uichukuwe uanze uzalishaji,mara TBS,TFDA,SIDO,TRA,wote wanakufuata nyuma
Hapana ndugu kila kitu ni hatua ukiichukua mashine tukakufungia site kwako ukaanza uzalishaji tutakuelekeza vitu vya kufuata NI RAHISI TU KUMALIZANA NAO TUNAFANYA KAZI KWA UMOJA NA TAASISI ZOTE KATIKA UZALISHAJI
 
mgen

mgen

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Messages
19,145
Likes
3,230
Points
280
mgen

mgen

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2010
19,145 3,230 280
Hapana ndugu kila kitu ni hatua ukiichukua mashine tukakufungia site kwako ukaanza uzalishaji tutakuelekeza vitu vya kufuata NI RAHISI TU KUMALIZANA NAO TUNAFANYA KAZI KWA UMOJA NA TAASISI ZOTE KATIKA UZALISHAJI
Jitahidini mmalize taratibu zoote nikichukua mashine ni kuuza bidhaa tu bila maswali YEYOTE toka yoyote!
 
NAJIDAKIA STORE

NAJIDAKIA STORE

Senior Member
Joined
Nov 26, 2018
Messages
141
Likes
73
Points
45
NAJIDAKIA STORE

NAJIDAKIA STORE

Senior Member
Joined Nov 26, 2018
141 73 45
Jitahidini mmalize taratibu zoote nikichukua mashine ni kuuza bidhaa tu bila maswali YEYOTE toka yoyote!
Mkuu kama ni mjasiriamali nadhani unazijua taratibu sisi hatuwezi kuwaingilia TFDA WALA TBS WANA VIGEZO VYAO SISI TUTAKUELEZA KIUWAZI KILA KITU ILI UKIDHI NA HIZI MAMLAKA ZIPO KWA AJILI YETU UTATENGENEZEWA MASHINE VINGINE UNAVIFANYA KWA POLEPOLE NADHANI UNAIJUA MITAJI YETU ILIVYO
 
mgen

mgen

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Messages
19,145
Likes
3,230
Points
280
mgen

mgen

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2010
19,145 3,230 280
Mkuu kama ni mjasiriamali nadhani unazijua taratibu sisi hatuwezi kuwaingilia TFDA WALA TBS WANA VIGEZO VYAO SISI TUTAKUELEZA KIUWAZI KILA KITU ILI UKIDHI NA HIZI MAMLAKA ZIPO KWA AJILI YETU UTATENGENEZEWA MASHINE VINGINE UNAVIFANYA KWA POLEPOLE NADHANI UNAIJUA MITAJI YETU ILIVYO
Huwa sina urafiki na red tape! Heri nikalime tu!
 
Jodeo

Jodeo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2015
Messages
1,023
Likes
799
Points
280
Jodeo

Jodeo

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2015
1,023 799 280
Ongeza na taarifa hizi; materials ya kutengenezea sabuni yanapatikanaje? Cost benefit analysis per unit. Hii itasaidia sana wanaotaka kununua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
THE RICHARDS

THE RICHARDS

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2014
Messages
2,745
Likes
1,399
Points
280
THE RICHARDS

THE RICHARDS

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2014
2,745 1,399 280
Inauzwa shilingi ngapi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwetu maana tuna mjali mteja hasa anaeanza mashine hii ni million saba na nusu tu ikiwa complete kabisa uwezo wake ukiwa miche 150 kwa saa
Unalipa asilimia 75% ofisini kwetu ndipo tunaanza kutengeneza siku Tisa inakuwa tayari karibu vingunguti 0762612213

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,262,373
Members 485,562
Posts 30,121,504