NAJIDAKIA STORE
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 261
- 126
kweli ndugu yangu husomi message japo hili ni tatizo kubwa la Watanzania wengi ni million saba na nusuBei gani hiyo machine
Hapana ndugu kila kitu ni hatua ukiichukua mashine tukakufungia site kwako ukaanza uzalishaji tutakuelekeza vitu vya kufuata NI RAHISI TU KUMALIZANA NAO TUNAFANYA KAZI KWA UMOJA NA TAASISI ZOTE KATIKA UZALISHAJInimeipenda mnoo,ni nzur ila sasa uje uichukuwe uanze uzalishaji,mara TBS,TFDA,SIDO,TRA,wote wanakufuata nyuma
Jitahidini mmalize taratibu zoote nikichukua mashine ni kuuza bidhaa tu bila maswali YEYOTE toka yoyote!Hapana ndugu kila kitu ni hatua ukiichukua mashine tukakufungia site kwako ukaanza uzalishaji tutakuelekeza vitu vya kufuata NI RAHISI TU KUMALIZANA NAO TUNAFANYA KAZI KWA UMOJA NA TAASISI ZOTE KATIKA UZALISHAJI
Mkuu kama ni mjasiriamali nadhani unazijua taratibu sisi hatuwezi kuwaingilia TFDA WALA TBS WANA VIGEZO VYAO SISI TUTAKUELEZA KIUWAZI KILA KITU ILI UKIDHI NA HIZI MAMLAKA ZIPO KWA AJILI YETU UTATENGENEZEWA MASHINE VINGINE UNAVIFANYA KWA POLEPOLE NADHANI UNAIJUA MITAJI YETU ILIVYOJitahidini mmalize taratibu zoote nikichukua mashine ni kuuza bidhaa tu bila maswali YEYOTE toka yoyote!
Huwa sina urafiki na red tape! Heri nikalime tu!Mkuu kama ni mjasiriamali nadhani unazijua taratibu sisi hatuwezi kuwaingilia TFDA WALA TBS WANA VIGEZO VYAO SISI TUTAKUELEZA KIUWAZI KILA KITU ILI UKIDHI NA HIZI MAMLAKA ZIPO KWA AJILI YETU UTATENGENEZEWA MASHINE VINGINE UNAVIFANYA KWA POLEPOLE NADHANI UNAIJUA MITAJI YETU ILIVYO
Mkuu red tape huwezi wekewa mapema hivyo taratibu zilivyo mpaka uanze uzalishaji ndipo mengine hufuata punguza hofu sisi tupo naweHuwa sina urafiki na red tape! Heri nikalime tu!
Kwetu maana tuna mjali mteja hasa anaeanza mashine hii ni million saba na nusu tu ikiwa complete kabisa uwezo wake ukiwa miche 150 kwa saa
Na wale ni kama basata, utahangaika wee kivyako vyako wako kimya, ukianza tu kupata matunda hao.nimeipenda mnoo,ni nzur ila sasa uje uichukuwe uanze uzalishaji,mara TBS,TFDA,SIDO,TRA,wote wanakufuata nyuma
Hawa tofauti na basata maana kauli mbiu viwanda ndugu Yale ya zamani hayapo sasa hivi process zote zimerahisishwa sana mradi tu ufuate vigezo tutakavyokupatia baada ya kuinunua mashine yakoNa wale ni kama basata, utahangaika wee kivyako vyako wako kimya, ukianza tu kupata matunda hao.
Yeye kashikilia mpini mkuu tujiongelee sisi yule mwache sehemu yake karibu kwa maahine