Mashine ya kutengeneza sabuni za miche sasa utaipata kupitia Najidakia Store office Mbezi Beach

NAJIDAKIA STORE

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
261
126
Mashine ya kutengeneza sabuni sasa najidakia online store watakuwezesha kuipata tumefungua office mbezi beach
Wajasiriamali wengi na wale wanaohitaji kuingia wanakosa taarifa sahihi tumeliona hili kwa kuunganisha site zetu nne za utengenezaji wa mashine mbalimbali ndani ya nchi na pia tunao wale wanaoagiza kutoka nje Kikubwa upate taarifa sahihi katika bei rahisi kuendana na uchumi wetu (agiza pia kupitia kwetu huduma hii tutaitoa yote kumkomboa mjasiriamali wa chini)

Mashine ya sabuni kupitia kwetu najidakia store zipo aina mbili
ipo ya million saba na nusu (7500000) Hii ni mashine inakuwa na mixer yake Ndogo pamoja na cutting unit

Mashine ya pili

hii bei yake ni million kumi na tatu (13,500000)
hii ina sifa moja kuu unaipata mixture kubwa ikiwa na uwezo Wa kuchanganganya kuanzia kg 300-500
na unapata unit Zote tatu muhimu katika uzalishaji Wa Sabuni

Malipo ili utengenezewe hii mashine

Hii mashine inatengenezwa kwa kuweka oda unalipa asilimia 75% au robo tatu utachagua wewe ulipie ofisini kwetu mbezi beach najidakia store ndani ya siku saba mashine inakuwa tayari utaelekezwa kila kitu namna ya kuendesha na kufanya uzalishaji wako bila kusahau utafungiwa kwenye site yako (kwa ndani ya Dar ni laki mbili tu gharama za kuifunga nje ya dar kinachoongezeka ni gharama za usafiri na malazi ni juu yako

TUIJENGE TANZANIA YA VIWANDA KARIBU TUSHAURIANE application yetu najidakia deals ipo playstore na website yetu najidakia(tunaogopa kuweka link) kuzingatia kanuni za JF tupigie huduma kwa wateja najidakia store 0762612213 sms/Whatsapp

IMG-20180511-WA0009.jpg

IMG-20180706-WA0009.jpg

IMG-20180722-WA0000.jpg

IMG-20180706-WA0013.jpg

IMG-20180831-WA0011.jpg
 
nimeipenda mnoo,ni nzur ila sasa uje uichukuwe uanze uzalishaji,mara TBS,TFDA,SIDO,TRA,wote wanakufuata nyuma
 
nimeipenda mnoo,ni nzur ila sasa uje uichukuwe uanze uzalishaji,mara TBS,TFDA,SIDO,TRA,wote wanakufuata nyuma
Hapana ndugu kila kitu ni hatua ukiichukua mashine tukakufungia site kwako ukaanza uzalishaji tutakuelekeza vitu vya kufuata NI RAHISI TU KUMALIZANA NAO TUNAFANYA KAZI KWA UMOJA NA TAASISI ZOTE KATIKA UZALISHAJI
 
Jitahidini mmalize taratibu zoote nikichukua mashine ni kuuza bidhaa tu bila maswali YEYOTE toka yoyote!
 
Jitahidini mmalize taratibu zoote nikichukua mashine ni kuuza bidhaa tu bila maswali YEYOTE toka yoyote!
Mkuu kama ni mjasiriamali nadhani unazijua taratibu sisi hatuwezi kuwaingilia TFDA WALA TBS WANA VIGEZO VYAO SISI TUTAKUELEZA KIUWAZI KILA KITU ILI UKIDHI NA HIZI MAMLAKA ZIPO KWA AJILI YETU UTATENGENEZEWA MASHINE VINGINE UNAVIFANYA KWA POLEPOLE NADHANI UNAIJUA MITAJI YETU ILIVYO
 
Huwa sina urafiki na red tape! Heri nikalime tu!
 
nimeipenda mnoo,ni nzur ila sasa uje uichukuwe uanze uzalishaji,mara TBS,TFDA,SIDO,TRA,wote wanakufuata nyuma
Na wale ni kama basata, utahangaika wee kivyako vyako wako kimya, ukianza tu kupata matunda hao.
 
mkuu kwa sababu nia yako ni kusaidia mjasiliamali mdogo,ebu tupe pia vigezo vinavyotakiwa na hizo taasisi.Isije kuwa mtu ananunua hizo mashine kumbe mashariti ya kupata vibali ni magumu na hizo mashine zikabaki kama mapambo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom