Mashine ya Kutengeneza Napkins na Toilet papers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashine ya Kutengeneza Napkins na Toilet papers

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Tembele, Oct 24, 2012.

 1. Tembele

  Tembele JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 1,147
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Habari zenu, Nilikuwa Nahitaji kufanya investment ya kiwanda kidogo cha kutengeneza Toilet Papers pamoja na Napkins.

  Naomba mnisaidie mahali ninapoweza kupata mashine za kutengenezea hizi bidhaa hasa kama zinapatikana Tanzania ama Kenya ama sehemu yoyote.

  Nashukuru, Hata kwa mwenye ushauri ntashukuru pia.


  Mungu awabariki sana.
   
Loading...