Mashine ya kukatia Nyama

Mashine ya kukatia Nyama

mikindops

Senior Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
106
Reaction score
69
Bandugu natafuta mashine ya kukatia nyama inayotumia ile misumeno midogo ya kukatia vyuma, ni kwa ajili ya matumizi ya butchery. Mwenye kujua habari ya hizi machine wapi zinapatikana hapa Tanzania naomba anielekeze tafadhali
 
Nenda Dar es Salaam, Mtaa wa India zipo nyingi tu
 
Bandugu natafuta mashine ya kukatia nyama inayotumia ile misumeno midogo ya kukatia vyuma, ni kwa ajili ya matumizi ya butchery. Mwenye kujua habari ya hizi machine wapi zinapatikana hapa Tanzania naomba anielekeze tafadhali

Mkuu ulifanikiwa kupata Mashine? naomba nijulishe natafuta namimi
 
Back
Top Bottom