Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,068
Hehe nilifikiri peke yangu.
Ngoja jamaa zetu wa SIDO na Veta waje watujuze...
Ngoja jamaa zetu wa SIDO na Veta waje watujuze...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinaanzia Sh350,000 inategemea na ukubwa zinapatikana Mwembechai au Mbagala kituo pale kuna wapemba wengi wanauza juice za miwa na hizo machine wanauza
duh! On my way 2 mbagala
duh! On my way 2 mbagala
mimi nnayo, nili ininununa tanga kwa rafiki yangu. ila ipo home. wadogo zangu wamenibetray. moja manual na ya mortar( umeme)
1. manual kwa kuanzia/ small scale inafaa - biashara ikipanuka unaweka ya mortar.
2. Nili ihitaji na nikaipata huko kwa mtu nnaye mfahamu - Tanga
3. niliwaacha waniangalizie biashara, hatimaye wakanifanya mjinga. mua unakwisha- hela hamna
Wandugu,
Napenda kufahamu hizi mashine za kukamua juice ya miwa zinapatikana wapi na bei zake zina range kwenye kiasi gani.
USD 1300
NAKULETEA,
sawa, lakini umeweka bei no specifications zozote au details. capacity yake vipi? inatumia umeme au nini? may be solar?manake wewe mtu wa solar co? Funguka zaidi.nafikiri hcho ndio wadau wanataka kujua atiiii!
acheni kuhangaika...endeleeni kutumwa na wahindi/makaburu/CCM waliowaajiri.....mi niko na makaburu.
hivyo vitu vinahitaji muda nanyi muda wenu unaishia kwenye desk top ofisini na lap top/DSTV home, hamtoweza unless muamue kushika moja.
naongea kwa uzoefu tu...siwakatishi tamaa, ni wazo zuri lakini practicalities zake ni shida tupu hasa kwenye kupata hardworking and trustworth staff wa kufanya hizo kazi wakati mwenyewe umepinda mgongo kwenye desktop/lap top ofisini.
mi nna ndoto kama hizo but nadhani i need to change the job as well...hii 2am-5pm schedule ya monday to friday na extra hours kwenye month ends..hainilipi.
ukiwa na kazi ambayo kuna kale ka-utamaduni ka-kutegea kazi ka ametoka kidogo then utaweza, otherwise ni ndoto.
Mkuu umemwaga pointi tupu. Nilijaribu hii kitu mara baada ya kununua mashine Zenji,lakini niliamua kuiuza kwa hasara.Kimehasabu pesa ipo ila shida ni hao waendeshaji. Bila usimamizi wa karibu, ni maluweluwe tu.Niliipeleka kwanza Mwanza kwetu nikijua ni sehemu yenye miwa mingi,lakini wapi.Baadae ikatia timu Dar nako wapi.