Mashine ya kukamulia Juice ya Miwa

Habarini wadau!
Mashine mbili za kukamulia juice ya miwa zinauzwa. Moja inatumia umeme na nyingine ya kusukuma kwa mkono.
Zinauzwa kwa pamoja 1.5M bila kupungua wala kuzidi hata senti moja. Ziko Mbagala Kibonde maji. Zimetumika kwa muda usiozidi miezi minne tu.
Kwa mawasiliano mpigie mwenye mashine 0714620265.

Natanguliza shukrani.
 
wadau wajasirilia mali,,natafuta machine ya kukamua miwa na kutengeneza juicy..mpya ya kisasa yenye kutumia umeme...mwenye nayo au anayejua bei zake na mahali zinapouzwa naomba MSAAADA jaman....0718247575 for contacts.........
 
ahsante mdau......kumbe umaskini bado utaendelea kuniandama aiseeeee......anyway ngoja nipambane tu
 
Wakuu, nami nahitaji mashine ya kukamlia nanasi maana niko huku geita vijijini tarafa ya Bugando ambako mananasi yanalimwa kwa wingi na mengi yanaishia kuoza. Nikipata hii mashine itakuwa ni ukombozi mkubwa sana kwa wakulima vile vile. Mwenye ufahamu wa wapi naweza kupata mashine hii au mtambo anifahamishe
 
wadau wajasirilia mali,,natafuta machine ya kukamua miwa na kutengeneza juicy..mpya ya kisasa yenye kutumia umeme...mwenye nayo au anayejua bei zake na mahali zinapouzwa naomba MSAAADA jaman....0718247575 for contacts.........

Zinapatikana kubwa, Medium na Ndogo kwa ajili ya matumizi ya nyumbani Mkuu. Tuwasiliane + 862066688888 au PM
 
Attachments

  • Screenshot_2014-10-26-11-59-35-2.png
    Screenshot_2014-10-26-11-59-35-2.png
    55.1 KB · Views: 851
wadau wajasirilia mali,,natafuta machine ya kukamua miwa na kutengeneza juicy..mpya ya kisasa yenye kutumia umeme...mwenye nayo au anayejua bei zake na mahali zinapouzwa naomba MSAAADA jaman....0718247575 for contacts.........
Ninayo used "kidogo" laki 9 bila kupungua hata chembe 0714620265
 
Mashine za muwa zipo za aina 2.
1.tanzania made
Hizi ni mashine za bei rahisi ambazo zinatengenezwa kwa material mabaya. Ni rahisi kukatika katika. Ukitumia mashine hii ni vizuri uwe na mashine ya riserve au uwe karibu na fundi. Bei zake ni 1.5m-1.2m
2. Non tanzania made
Ni imara, unaweza kutumia hadi 50years, ila bei yake ni kubwa sanaaa, upatinaji wake ni mgumu. Bei inaanzia 4m na kuendelea.......
Call 0779420000 more info
 
Zinapatikana kubwa, Medium na Ndogo kwa ajili ya matumizi ya nyumbani Mkuu. Tuwasiliane + 862066688888 au PM
kiongozi hiyo 1.5 ni kila pamoja na nauli ya kutoka huko china au ? du bado kodi kiongozi , mmmh hebu tuambie gharama za kuipata hapa dar itakuwa kiasi gani
 
kiongozi hiyo 1.5 ni kila pamoja na nauli ya kutoka huko china au ? du bado kodi kiongozi , mmmh hebu tuambie gharama za kuipata hapa dar itakuwa kiasi gani

Bei nilizoweka ni bei za kununua hapa China. Gharama za kusafirisha ni kati ya 150USD hadi 200USD kulingana na uzito wa machine kwa sababu huwa natumia usafiri wa Ndege ya mizigo.
 
Mashine ya kukamulia JUICE ya Miwa naiuza.
Haitumii umeme
Uzito 180kg
Iko katika hali nzuri
Inatumia GearBox

Sababu ya kuiuza ni Kubadili biashara.

Bei ni 650,000Tsh.
Call 0716 421233 If Interested
 
Attachments

  • 1416728034659.jpg
    1416728034659.jpg
    65.9 KB · Views: 784
Back
Top Bottom