Wajameni, habarini za mchana/asubuhi/usiku etc. Katika kipindi cha sabasaba nilishawahi kusikia kama kuna machine fulani za kichine za kukamulia mafuta ya alizeti, sijajua kama ni za kichina au zinatengenezwa hapahapa kwetu tz....nina uhitaji sana na machine ya aina hii, naomba kama kuna mtu mwenye fununu wa wapi na namna nitakavyoipata, aniambie wapi niipate please!
Natafuta ile ya small scale production ambayo haiwezi kuleta complications sana wakati wa kuitengeneza kama ikikorofisha, so iwe kidogo ile ndogo ambayo naweza kuweka nyumbani kwangu kwenye chumba kimoja au viwili na kufanya kazi....kwa mwenye fununu na hili, wapi wanauza etc, nitashukuru kama atanitaarifu kwa hapa....asanteni.
TEMDO Arusha wanatengeneza hizo mashine bei ni kama m6 hivi
hute me npo arusha kampuni ya utafiti wa mitambo hapa kwetu tunatengeneza mashine mbalimbali ikiwemo hiyo unayoitaka garanti miaka 3o ianze kusumbua tuwasiliane kwa no0756060008 poa
Wewe uko wapi?Nenda SIDO kaka.
Bei zenu ni kubwa cjui huwa target mkt yenu ni nani, cause siyo mkulima wa kawaida.
SIDO ni bogus kabisa, huwa wanatengeneza vitu vyao kuwapendezesha viongozi wa Kisiasa. Hawapo kibiashara kabisa na bei zao ni wendawazimu.
hapana mkuu ubora kumbuka zakwetu ni chuma za china ni cast /udongo inaweza kuvunjika muda wowote ndo mana tuna gerent na wateja pia kumbuka temdo ni taasisi ya serikali hakuna usanii hapo umenipata
Sasa unaonaje mkijitangaza zaidi maana si unaona kuna prospective customers ambao hata hawajui uwepo wenu.
Ichukulie kama changamoto kwa sasa.