Mashine ya kuhesabia fedha

Mashine ya kuhesabia fedha

Acha Dhambi

Senior Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
147
Reaction score
46
Naomba kusaiwa kuhusu hizi mashine za kuhesabu fedha. Nahitaji kununua lakini sijui aina mzuri na bora na inayodumu kwa matumizi ya wakala na bajeti yangu kati ya laki 5 mpaka milioni moja. Naomba msaada wenu wadau maana nimetajiwa aina mbili Digi max na cassida ndiyo nimechanganywa zaidi kumbe ziko aina nyingi, na ubora ukoje? kwa bajeti yangu
 
Mimi ninayo aina moja hivi nilinunua kwa 260k kwa ofisi zangu zoteee mjini.

Ni nzuri maana hata vijana hawailalamikiii.

Ngoja kesho nikaisome branda name au nikutumie picha.

Maana niliagiza mtu akaleta vijana wakapokea na kuanza kuitumia.

Hata sijawahi igusa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom