deonova
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 742
- 420
Salaam wadau,
Tunatafuta kampuni inayoweza kutukodishia mashine ya kuchimba barabara eneo lenye mwamba (kwenye mwinuko) na specifically tunahitaji mashine aina ya "Excavator". Kampuni hii iwe ya Moshi maana eneo la kazi ni Moshi vijijini (juu ya Chuo cha wanyamapori - Mweka, kama 18Km kutoka Moshi mjini).
Sisi kamati tunaoratibu kazi hii tuko Dar es Salaam hivyo kampuni itakayokuwa na hiyo mashine tutawaunganisha na kamati yetu ya Moshi wawapeleke kufanya survey eneo la mradi.
Mradi uko financed na sisi wenyewe hivyo hakuna tatizo kwenye taratibu za malipo as tukishapata uhakika wa mashine tutafanya mawasiliano then tutakuja Moshi mapema iwezekanavyo na kufika ofisini kufanya malipo na tuongozane na hiyo mashine kwenda eneo la kazi.
Natanguliza shukurani kwenu.