Mashine ya kublend Mchaichai (lemon grass).

kande kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2011
Posts
234
Reaction score
89
Wadau,

Natafuta mashine ya kublend Mchai chai. Nimejaribu kugoogle lakini naona maluweluwe.Mwenye taarifa anijuze na bei yake.

Asanteni.
 
Dah, mkuu hii ndy leo naiskia na imenivutia! Ukiipata tujuzane kwa PM! asante
 
Dah, mkuu hii ndy leo naiskia na imenivutia! Ukiipata tujuzane kwa PM! asante

same applies

very interesting and it can be a good small business venture if done properly

all the best
 
Wadau,

Natafuta mashine ya kublend Mchai chai. Nimejaribu kugoogle lakini naona maluweluwe.Mwenye taarifa anijuze na bei yake.

Asanteni.

Mchai chai upi ? yale majani mapana au zile nyasi ?
 
Swalo dogo la kizushi: wataalam wanasemaje kuhusu mchaichai? Hakuna madhara yeyote yatokanayo na mchaichai kwa wanywaji?
Zile nyasi kaka, ambazo zinapatkana kwenye bustani zetu kule majumbani!
 
Jaribu kutumia kale kamtambo ka kusaga kahawa, lakni usiiache ika blend kwa muda mrefu, utatoka unga mtupu!! kidogo tu utajikuta unafyonza chai kutoka garden yako mwenyewe!
Mimi naombeni msaada nahitaji mchai chai ule wa majani mapana na una test ya lemon kama kuna mtu ana mbegu hala hala naiomba!!
 
Swalo dogo la kizushi: wataalam wanasemaje kuhusu mchaichai? Hakuna madhara yeyote yatokanayo na mchaichai kwa wanywaji?

Ushauri wa kizushi kaka; Jaribu KUGUGO! hahahaaa
Rafiki yangu wasabato wanaogopa sana kahawa na chai; huwa wanatumia haya majani au tangawizi!
 
Swalo dogo la kizushi: wataalam wanasemaje kuhusu mchaichai? Hakuna madhara yeyote yatokanayo na mchaichai kwa wanywaji?

...Hauna madhara yoyote tena una kinga nyingi kwa binadamu. Ngoja MziziMkavu aje kushusha utaalamu wake wa mizizi na majani 🙂🙂 Mkuu ukifanikiwa hii kitu na kuweza kuzalisha kwa wingi na packaging yako ikifikia viwango vya kimataifa basi utatengeneza mchuzi mzuri sana ndani na nje ya nchi.
 
Wakuu nadhani hapa tunachanganya madawa kidogo...

Nadhani unaweza ukablend chochote kile kwa kutumia Blender (iwe mchai chai, mchicha, matunda au chochote kile) huwezi kupata blender special kwa kitu fulani..

Sasa swali linakuja kwenye mchai chai unataka nini..(unataka iwe kama unga, kuisaga au unataka extraction ya lemon glass oil) ?

Kama unachotaka ni Lemon Grass Oil basi you can follow the following steps (ila kama unataka iwe pure sana inabidi uwe na mtambo wa kuweza kufanya fractional distillation)

Angalia hapo chini jinsi ya ku-extract lemon grass oil (kumbuka ukitaka iwe pure inabidi kufanya fractional distillation)

Tukumbuke wakuu ( a machine is anything that simplifies work) sasa kwenye blending ya mchai chai inabidi tujiulize tunataka outcome gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…