Cordy bnei shirk
JF-Expert Member
- Dec 13, 2017
- 366
- 323
- Thread starter
- #21
Karibuni
Habari.
Napenda kuwaletea na mashine ya kisasa ya juisi ya miwa iliyo mdogo (5Okg) na yenye ufanisi wa halo ya juu.
Ina roller tatu hivo kusaga miwa Mara moja tu bila kurudia.
Inatumia chain badala ya belt hivo kuifanya Iwe imara zaidi kuliko belt inayokatika Mara kwa Mara.
Ni portable.
Ina 750 ambayo inaweza ikasaga miwa zaidi ya mia tatu kwa SAA.
Bei:1,1OO,OOOTsh.
Contact and whatsapView attachment 801909 View attachment 801910contact and whatsap :O6732O6639 au O78862261O
Nicheki kwa simuNahitaji
75OWInatumia power kiasi gani mkuu