Mashine ya juice inauzwa (Juice Dispenser)

Bac3

Senior Member
Apr 21, 2016
129
68
Hii juice dispenser unauzwa ni used kidogo ila bado inafanya kazi.naiuza sababu nina shida na pesa, wanemaga chako ndo kinakusaidia

Bei yake ni laki tano tu (500,000)
ila punguzo lipo. mpya inauzwa milioni moja au na laki mbili. hii yangu inafanya kazi vizuri tu.

MAHALI

Napatikana Temeke,Dar Es Salaam

MAWASILIANO

0653116399

NB: picha nashindwa kuziweka ila ntajitahidi niupload


PICHA HIZI HAPA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…