Mahitaji Ya mashine mbali mbali pitia hapa

Job Richard

JF-Expert Member
Feb 8, 2013
3,865
2,176
Najidakia store & General supply Tunakuletea

Mashine za juisi ya miwa Kwa million moja na Laki mbili hii inakamua na kuchuja yenyewe
Pia local made za hapa hapa zipo

Mashine za ice cream million mbili na Laki tano
uwezo zaidi ya Lita 200 Kwa Siku

mashine za popcorn Laki tatu na nusu za umeme na ya gesi Laki Sita tu

mashine Zote za bakery kuanzia oven,mixer,proofer, Display n.k

Blender zenye uwezo Mkubwa Laki tatu na nusu

juice Dispensers tray mbili Laki Tisa na nusu

tray tatu million moja na Laki mbili

Mashine za kukata nyama buchani million moja na Laki tano
mashine za kumenya viazi million moja na Laki mbili
plastic sealer Laki moja na 80

Mashine yeyote 0779593460

picha Zote Hapa chini
 
Mashine yeyote 0779593460

picha Zote Hapa chini[/QUOTE]Picha Zote hapa
IMG_20190923_230439_012.jpeg
IMG_20190923_230438_997.jpeg
 
Back
Top Bottom