mtafiti muelewa
Senior Member
- Oct 16, 2013
- 186
- 98
Habari wana JF. Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza, nina mashine ya bisi ya gesi mpya kabisa na kitololi chake, ambayo naitafutia kijana mwenzangu wa kuiendesha.
Sifa:
1. Awe mwaminifu
2. Awe mchangamfu
3. Awe smart (kichani na mavazi)
4. Awe na MDHAMINI.
Malipo:
Malipo atajilipa mwenyewe, mimi ataniletea hesabu ambayo tutaelewana, kwa hiyo kwa jinsi atajituma zaidi ndivyo hivyo hivyo pesa itajituma kuingia mfukoni mwake.
Sehemu:
Sehemu ya kufanyia biashara tutaelewana japo ile mashine ina kitololi chake, hivyo basi unaweza kutembea nayo popote.
Mfikishie hii taarifa kijana yeyote unaehisi anaweza kufanya hii kazi kwa ufanisi.
Namba yangu ni 0657 317631